Mfahamu T.O Kihombo 2006 aliyepata Degree yake ya Kwanza baada ya Miaka 11

Mfahamu T.O Kihombo 2006 aliyepata Degree yake ya Kwanza baada ya Miaka 11

Yani mtu aliyepata bachelor degree baada ya miaka 11 ndo unamsifia hivi!!?

Nlivoanza kusoma uzi nlifikiri ntakutana na mtaalamu aliyevumbua kitu fulani kumbe ni mwalimu wa tuition.

Wivu huo mkuu, punguza wivu utafanikiwa sana
 
I've secured a job couple of years ago
Hmm! English is not a rice plate eating!

Hmm! Kiingereza sio kama kula ubwabwa kwenye sahani!

It'd be properly stated that - "I've a secured job since couple of years ago."
 
Thanks

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Hata kuandika sentensi ya kiingereza inakushinda! Ilikuaje ukapata shahada yako?

Ndio haya tunayosema, elimu ya Tanzania ilikuwa ni soko huria.

Pesa ilikuwa inamaliza kila kitu, na sio uwezo wa mwanafunzi husika. Ndio maana hata kimataifa watanzania hawapo!

Nchi jirani za Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, DRC, Zambia, Msumbiji na hata Malawi zimetupita mbali sana kielimu.
 
Acha kujifafanya mjuaji kwa vitu usivyo na hakika navyo.
TOP TEN BEST FORM SIX STUDENTS NECTA 2012,
Click hiyo link kisha urudi hapa.
Labda hatuelewani! Matokeo ya wanafunzi bora kwa madarasa yote kuanzia darasa la saba, kidato cha nne na kidato cha sita yameanza kutangazwa rasmi mwaka 2016.

Sasa kama hizo orodha zipo naomba utuoneshe! Tayari umetuonesha za mwaka 2012, matokeo ya kidato cha sita. Mengine yako wapi? Matokeo ya kidato cha nne na darasa la saba?

Nadhani naelewaka, kwa mtindo unaotumika sasa hivi, naomba na wewe uwasilishe matokeo ya wanafunzi bora vivyo hivyo.

Hayapo! Eeh!
 
Back
Top Bottom