Mfahamu Tahiya John, mrembo asiyekuwa na heka heka mjini

Sikujuaga kama anaitwa tahiya John mweeh...nilijuaga tahiya masikio ndiyo jina la baba ake..insta bwana
 
Waswahi bana, huyu kaenda zake whitesand kapiga picha kwenye sanitizer na kwenye ufukwe then yupo dubai, shida kwelikweli
 
Kazi yake KUDANGA.Hili neno kudanga limekuja kulilemba neno umalaya,hapo ukimwambia ww malaya ana kasirikia,ila ukimwita mdangaji anaona poa kumbe kitu kilekile.
Tasifida hupunguza ukali wa maneno....
inasaidia kisaikolojia
 
Waswahi bana, huyu kaenda zake whitesand kapiga picha kwenye sanitizer na kwenye ufukwe then yupo dubai, shida kwelikweli

Acha wivu, alienda dubai , tuliowah kufika Dubai tunajua how Dubai looks like , na alikua kwenye tower ya burj khalifa na video aka record , wivu tu mxieew
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji38][emoji38][emoji38]ukashtukia kuwa ni binadamu wa kawaida tu kumbe
 
Hata mimi inanishangaza sana kusifia mambo ya ajabu ajabu wakati kuna mambo mengi ya msingi ya kudiscuss.
 

Attachments

  • 5E01C719-C5B1-43D1-BEA0-85F0D1496554.jpeg
    50.4 KB · Views: 8
Huyu manzi si ndo video vixen kwenye video ya Rich mavoko ft Fid Q inaitwa Sheri
 
Skia sasa...unaambiwa nilipoona heading nikajua ni boonge moja LA pisi,,kumbe kipisi2...Mleta Uzi nakuheshimu,,Siku nyingine usirudie kuniaminisha umurere aseee
 
Ni hivi huko dubeyii wanajiuza kwenye ma hotel makubwa moja naifahamu wanaweza kaa hata wiki akikusanya pesa ananunua na vitu kuja kuweka kwenye maduka yao dalisalama



Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Kwaiyo huyu huyu demu wangu flan hapo sinza ana duka kubwa kumbe anauza k dubeyiii ananizuga ni safar tu na dada...

Maana niliomba kinyweo dzain akawa anazuga ningekomaa kumbe frweshiii[emoji3]

Maana alivorudi mabiashara ykatanuka na gari kalii ikanunuliwa nikashangaaa kulikoni ila ni mtu sijali sana kujua mchepuko unapata wapi pesa maana mwenyew hapa wale wale eat/run....yupo permanet anayesuza roho yange.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…