Mfahamu Tahiya John, mrembo asiyekuwa na heka heka mjini

Mfahamu Tahiya John, mrembo asiyekuwa na heka heka mjini

Sikujuaga kama anaitwa tahiya John mweeh...nilijuaga tahiya masikio ndiyo jina la baba ake..insta bwana
 
Ni binti mrembo na asiyekua na makuu, umaarufu wake ulipamba moto baada ya kuwa na bifu na Hamisa Mobetto baada ya mrembo huyo kudai kuchukuliwa mwanaume na Hamisa .

Hivi sasa mrembo huyo yupo zake Dubai akila bata

Naona domo sijui bado hajamuona maana Ndio type zake hizi

View attachment 1610444
View attachment 1610445
Waswahi bana, huyu kaenda zake whitesand kapiga picha kwenye sanitizer na kwenye ufukwe then yupo dubai, shida kwelikweli
 
Kazi yake KUDANGA.Hili neno kudanga limekuja kulilemba neno umalaya,hapo ukimwambia ww malaya ana kasirikia,ila ukimwita mdangaji anaona poa kumbe kitu kilekile.
Tasifida hupunguza ukali wa maneno....
inasaidia kisaikolojia
 
Waswahi bana, huyu kaenda zake whitesand kapiga picha kwenye sanitizer na kwenye ufukwe then yupo dubai, shida kwelikweli

Acha wivu, alienda dubai , tuliowah kufika Dubai tunajua how Dubai looks like , na alikua kwenye tower ya burj khalifa na video aka record , wivu tu mxieew
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji38][emoji38][emoji38]ukashtukia kuwa ni binadamu wa kawaida tu kumbe
Mi nikikutanaga na wasanii ana kwa ana, uwa siwatambui hadi niambiwe.

Ni juzi tu nilimuona Hemed Mliman ndio nikamjua direct.

Ila wengine labda watu nione wanamshangaa au nilienae aniambie yule fulani.

Yaani hawafanani kabisa na picha au video wanazotupostia.
 
Hata mimi inanishangaza sana kusifia mambo ya ajabu ajabu wakati kuna mambo mengi ya msingi ya kudiscuss.
.Huyu ni malaya kama malaya wengine! watu wanafika dau wanawatumia kisha wanawaacha.Huko Dubai yupo na sponsor sio hela zake na huyo Domo unayemsema ashampitia zamani tu ,ifike mahali watanzania tujikite kuwasifia wanawake wenye mafanikio kutokana na elimu zao,au bidii katika kupambana na maisha sio hawa jamaa ya walima Mpunga na mchele.huyu mdangaji tu,Dubai kuna mtu kalipa yupo nae akimalizana nae tutamkuta basement kijitonyama anatafuta madanga
 

Attachments

  • 5E01C719-C5B1-43D1-BEA0-85F0D1496554.jpeg
    5E01C719-C5B1-43D1-BEA0-85F0D1496554.jpeg
    50.4 KB · Views: 8
Huyu manzi si ndo video vixen kwenye video ya Rich mavoko ft Fid Q inaitwa Sheri
 
Skia sasa...unaambiwa nilipoona heading nikajua ni boonge moja LA pisi,,kumbe kipisi2...Mleta Uzi nakuheshimu,,Siku nyingine usirudie kuniaminisha umurere aseee
 
Ni hivi huko dubeyii wanajiuza kwenye ma hotel makubwa moja naifahamu wanaweza kaa hata wiki akikusanya pesa ananunua na vitu kuja kuweka kwenye maduka yao dalisalama



Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Kwaiyo huyu huyu demu wangu flan hapo sinza ana duka kubwa kumbe anauza k dubeyiii ananizuga ni safar tu na dada...

Maana niliomba kinyweo dzain akawa anazuga ningekomaa kumbe frweshiii[emoji3]

Maana alivorudi mabiashara ykatanuka na gari kalii ikanunuliwa nikashangaaa kulikoni ila ni mtu sijali sana kujua mchepuko unapata wapi pesa maana mwenyew hapa wale wale eat/run....yupo permanet anayesuza roho yange.
 
Back
Top Bottom