tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Kidimbwini kuna pisi kali kuliko ibinzaUtakuta anauza vipodozi
S.H Amon ana miaka na miaka ila bata analia kidimbwi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kidimbwini kuna pisi kali kuliko ibinzaUtakuta anauza vipodozi
S.H Amon ana miaka na miaka ila bata analia kidimbwi
Nimezaliwa na kukulia mjini.Mkuu, ukikosea hesabu hapo utajapoteza kila kitu.
🙂🙂
Hoja yako imepita bila kupingwaKazi yake KUDANGA.Hili neno kudanga limekuja kulilemba neno umalaya,hapo ukimwambia ww malaya ana kasirikia,ila ukimwita mdangaji anaona poa kumbe kitu kilekile.
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Nilikutana nacho m.city asee kawaida sana
Ukijibiwa uni tagAnafanya issue gani za kumuingizia kipato hapo darisalama?
Siku hizi tunawaita pisi kaliKazi yake KUDANGA.Hili neno kudanga limekuja kulilemba neno umalaya,hapo ukimwambia ww malaya ana kasirikia,ila ukimwita mdangaji anaona poa kumbe kitu kilekile.
Hivoo?Huyu ana undugu na kina esma ndio maana diamond kamuacha
.Huyu ni malaya kama malaya wengine! watu wanafika dau wanawatumia kisha wanawaacha.Huko Dubai yupo na sponsor sio hela zake na huyo Domo unayemsema ashampitia zamani tu ,ifike mahali watanzania tujikite kuwasifia wanawake wenye mafanikio kutokana na elimu zao,au bidii katika kupambana na maisha sio hawa jamaa ya walima Mpunga na mchele.huyu mdangaji tu,Dubai kuna mtu kalipa yupo nae akimalizana nae tutamkuta basement kijitonyama anatafuta madangaNi binti mrembo na asiyekua na makuu, umaarufu wake ulipamba moto baada ya kuwa na bifu na hamisa mobetto baada ya mrembo huyo kudai kuchukuliwa mwanaume na hamisa .
Hivi sasa mrembo huyo yupo zake Dubai akila bata
Naona domo sijui bado hajamuona maana Ndio type zake hizi
View attachment 1610444
View attachment 1610445
hizi makeup hizi😁😁[emoji3] [emoji3] [emoji3]
"Ati nilikutana nacho m.city asee kawaida sana" kwanini yani, au ni kadunchu sana kama tonge ya ugali au?
Nilikutana nacho m.city asee kawaida sana
Mi nikikutanaga na wasanii ana kwa ana, uwa siwatambui hadi niambiwe.
Ni juzi tu nilimuona Hemed Mliman ndio nikamjua direct.
Ila wengine labda watu nione wanamshangaa au nilienae aniambie yule fulani.
Yaani hawafanani kabisa na picha au video wanazotupostia.
hizi makeup hizi[emoji16][emoji16]
Wakina nani hao?[emoji1787][emoji1787]Kuna wengine nimewaona leo jamani hizi camera zina dhambi