Mfahamu Ted Cruz anayetaka Marekani ituwekee vikwazo, sio Rio Ferdinand wa kumhonga tiketi ya ndege na hoteli

Kama kweli CCM wanataka kumhonga basi atahongeka tu. Hata Trump anahongeka tu inategemea unataka kumhonga nini
 
Ana Pa kuanziaπŸ’–πŸ”₯πŸ’ͺ🏿
 
Kama kweli CCM wanataka kumhonga basi atahongeka tu. Hata Trump anahongeka tu inategemea unataka kumhonga nini
Mnasubiri nini wakati mambo yanazidi kuharibika.
 
Asije kumtafutia mgodi wa dhahabu hapaa Tanzania tu
 
Hakuna kilichoharibika. Labda huko CDM na mitandaoni mtujuze
Kwani Chadema inawekewa vikwazo na nani, mswada wa Cruz unataja viongozi wa CCM na gov officials ndio watakaokula umeme.
 
Ila alieiroga Africa ameshakufa kitambo. Hili nalo ni la kufurahia km mtz, ety mijitu inasherehekea vikwazo wakati hata vije nchi itaendelea na hyo mzigo italipa yenyewe sio waganda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…