Mfahamu Ted Cruz anayetaka Marekani ituwekee vikwazo, sio Rio Ferdinand wa kumhonga tiketi ya ndege na hoteli

Mfahamu Ted Cruz anayetaka Marekani ituwekee vikwazo, sio Rio Ferdinand wa kumhonga tiketi ya ndege na hoteli

Kombo amewaalika Seneta Ted Cruz kuja Tanzania, kwamba serikali itagharamia kila kitu ikiwamo tiketi ya ndege na hoteli, kwa waMarekani imeonekana kama rushwa.

Huu hapa ni utambulisho mfupi tu wa Ted Cruz.

Ted Cruz ni mwanasiasa na wakili wa Marekani ni Seneta kutoka Texas (Republican) tangu 2013.

View attachment 3596252

Aliwasilisha Sheria ya Uwajibikaji wa Uhuru wa Kidini Nigeria ya 2025. Mswada huo unalinda Wakristo wa Nigeria kwa kuwawajibisha maafisa wa Nigeria wanaowezesha wanajihadi wa Kiislamu. Ukapita, hadi sasa majeshi ya Marekani yapo pwani ya Nigeria.

Aliwasilisha mswada wa vikwazo kwa magaidi specific akalitaja kundi la Houthi linaloungwa mkono na Iran kama Shirika la Kigaidi. Ukapita leo wanatandikwa.

Alisimamia na kuwaongoza wabunge kuzuia mswada wa bajeti (Obama care act) 2013 hadi serikali ikafungwa kwa siku 16 kusubiri mswada upite (Government Shutdown).

Aliwasilisha mswada unaomruhusu rais wa Marekani kumnyima visa balozi yeyote wa UN anayejihusisha na ujasusi/ugaidi dhidi ya Marekani au kutishia maslahi ya Marekani. Mtakumbuka kuna mwaka balozi wa UN wa Iran na Rais wa Iran walizuiwa kuhudhuria Mkutano wa UN.

Aliwasilisha mswada wa kupiga marufuku matumizi ya ndege zisizo na rubani (drone) kuwaua raia ndani ya Marekani, ukawa sheria.

Anaheshimika sana Marekani na mabunge yote.

Huyu ndiye Ted Cruz ambaye Kombo anataka kumhonga tiketi ya ndege.
Tumeshakubaliana nchi yetu ni huru na haipaswi kuingiliwa kwa lolote, sasa ticket bure za nini? Kwa ajili ya nini? Tuna haja gani ya kujitetea na kuzua taharuki wakati tuko huru?

Nadhani kwasababu sisi tumekubalia tuko huru hata kuzua taharuki iliyozuku bungeni ilikuwa kujidhalilisha tu, kwanini tuogope mswada tu wakati tuko huru?
 
Ted cruz na marco rubio ni waspanyola walamba matako ya trump namba moja kulinda vibarua vyao...
trump alishawahi kuwatukana vya kutosha wakati anaanza safari yake uraisi mara ya kwanza,
na walivyoona wazungu wote wanamsapoti trump, wakajiingizia mikia matakoni na kuanza kumlambalamba trump
 
Huyo Cruiser siju kurunzi hana lolote. Mhe. Sana waziri wetu mzee Kombo ameamua kutuma ndege yetu mupyaa
Gulfstream 800 ikamchukue.

Mambo ya ticket sijui nini hiyo ni saizi ya akina Drogba na Fedinandi
 
Mpaka akubali mwaliko Trump atakuwa ameshasaini mswada wa Sheria unaolenga nchi yetu!
Maana huwezi kumleta kijinga jinga hivyo kama kwamba ana njaa.
Akija anaweza kutaka kuonana na vyama vya upinzani ambavyo vitazidi kupigilia msumari kwenye jeneza.
Kama serikali ingekuwa inaongozwa na mtu mwenye akili,badala ya kutumia mabilioni kuhonga ili kujisafisha na damu ingeyatumia kulipa fidia za wahanga wa mauaji yale.
Harafu ingemwachia Lissu na wafungwa wengine wa kisiasa.
Huenda upepo ungetulia.
 
Labda Mother wa mkund wako..
Endelea kuumia huko uliko ewe nyumbu lofa lofa la mwisho la tobo lissu. Samia ni mpango wa Mungu; hamjamuweza okt 29 na hamtomuweza mpaka anamaliza muda wake..........mamamamamaaae!
 
Ila alieiroga Africa ameshakufa kitambo. Hili nalo ni la kufurahia km mtz, ety mijitu inasherehekea vikwazo wakati hata vije nchi itaendelea na hyo mzigo italipa yenyewe sio waganda.
Kila mtu ashinde mechi zake wewe furahia vifo sisi tunafurahia vikwazo shida iko wapi.
 
Huyo Cruiser siju kurunzi hana lolote. Mhe. Sana waziri wetu mzee Kombo ameamua kutuma ndege yetu mupyaa
Gulfstream 800 ikamchukue.

Mambo ya ticket sijui nini hiyo ni saizi ya akina Drogba na Fedinandi
Layman.
 
Ila alieiroga Africa ameshakufa kitambo. Hili nalo ni la kufurahia km mtz, ety mijitu inasherehekea vikwazo wakati hata vije nchi itaendelea na hyo mzigo italipa yenyewe sio waganda.
Ujue wananchi wana mizigo ambayo viongozi wameshindwa kuwasaidia
 
Back
Top Bottom