Kiranja wa jamii
JF-Expert Member
- Jan 2, 2023
- 1,222
- 2,912
Tumeshakubaliana nchi yetu ni huru na haipaswi kuingiliwa kwa lolote, sasa ticket bure za nini? Kwa ajili ya nini? Tuna haja gani ya kujitetea na kuzua taharuki wakati tuko huru?Kombo amewaalika Seneta Ted Cruz kuja Tanzania, kwamba serikali itagharamia kila kitu ikiwamo tiketi ya ndege na hoteli, kwa waMarekani imeonekana kama rushwa.
Huu hapa ni utambulisho mfupi tu wa Ted Cruz.
Ted Cruz ni mwanasiasa na wakili wa Marekani ni Seneta kutoka Texas (Republican) tangu 2013.
View attachment 3596252
Aliwasilisha Sheria ya Uwajibikaji wa Uhuru wa Kidini Nigeria ya 2025. Mswada huo unalinda Wakristo wa Nigeria kwa kuwawajibisha maafisa wa Nigeria wanaowezesha wanajihadi wa Kiislamu. Ukapita, hadi sasa majeshi ya Marekani yapo pwani ya Nigeria.
Aliwasilisha mswada wa vikwazo kwa magaidi specific akalitaja kundi la Houthi linaloungwa mkono na Iran kama Shirika la Kigaidi. Ukapita leo wanatandikwa.
Alisimamia na kuwaongoza wabunge kuzuia mswada wa bajeti (Obama care act) 2013 hadi serikali ikafungwa kwa siku 16 kusubiri mswada upite (Government Shutdown).
Aliwasilisha mswada unaomruhusu rais wa Marekani kumnyima visa balozi yeyote wa UN anayejihusisha na ujasusi/ugaidi dhidi ya Marekani au kutishia maslahi ya Marekani. Mtakumbuka kuna mwaka balozi wa UN wa Iran na Rais wa Iran walizuiwa kuhudhuria Mkutano wa UN.
Aliwasilisha mswada wa kupiga marufuku matumizi ya ndege zisizo na rubani (drone) kuwaua raia ndani ya Marekani, ukawa sheria.
Anaheshimika sana Marekani na mabunge yote.
Huyu ndiye Ted Cruz ambaye Kombo anataka kumhonga tiketi ya ndege.
Labda Mother wa mkund wako..Machoko ya wabelgiji kazi mnayo. Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern, anawatoa jasho la kwenye mikulo si mchezo.
Endelea kuumia huko uliko ewe nyumbu lofa lofa la mwisho la tobo lissu. Samia ni mpango wa Mungu; hamjamuweza okt 29 na hamtomuweza mpaka anamaliza muda wake..........mamamamamaaae!Labda Mother wa mkund wako..
Kila mtu ashinde mechi zake wewe furahia vifo sisi tunafurahia vikwazo shida iko wapi.Ila alieiroga Africa ameshakufa kitambo. Hili nalo ni la kufurahia km mtz, ety mijitu inasherehekea vikwazo wakati hata vije nchi itaendelea na hyo mzigo italipa yenyewe sio waganda.
Layman.Huyo Cruiser siju kurunzi hana lolote. Mhe. Sana waziri wetu mzee Kombo ameamua kutuma ndege yetu mupyaa
Gulfstream 800 ikamchukue.
Mambo ya ticket sijui nini hiyo ni saizi ya akina Drogba na Fedinandi
Ujue wananchi wana mizigo ambayo viongozi wameshindwa kuwasaidiaIla alieiroga Africa ameshakufa kitambo. Hili nalo ni la kufurahia km mtz, ety mijitu inasherehekea vikwazo wakati hata vije nchi itaendelea na hyo mzigo italipa yenyewe sio waganda.
Anakuja kuona amani, na mshikamano tulio nao,,Anakuja kufanya Nini?