Waungwana wa jukwaa letu tamu,ninapenda nifahamishwe vizuri historia ya mwanasiasa huyu John Mnyika mbunge wa Ubungo jijini Dar-es-salaam. Tangu alipozaliwa.shule na maisha kwa ujumla. Ahsante.
tafuta kuna nyuzi ipo humu akibandika yeye mwenyewe kipindi analumbana na Nape kuhusu elimu yake.
Nakumbuka alisema angekuwepo Marekani ama nchi zilizoendelea angekuwa na Tertiary degree ila kwakuwa yupo Tz ndo mana ameishia kuwa na form six kama ndo elimu yake ya juu ya darasani.