Mfahamu vizuri mwanasiasa mashuhuri John Mnyika katika historia ya maisha yake.

Mfahamu vizuri mwanasiasa mashuhuri John Mnyika katika historia ya maisha yake.

John Luziga

Member
Joined
Dec 8, 2013
Posts
13
Reaction score
4
Waungwana wa jukwaa letu tamu,ninapenda nifahamishwe vizuri historia ya mwanasiasa huyu John Mnyika mbunge wa Ubungo jijini Dar-es-salaam. Tangu alipozaliwa.shule na maisha kwa ujumla. Ahsante.
 
Mkuu unatufahamisha au unatuuliza?
 
tafuta kuna nyuzi ipo humu akibandika yeye mwenyewe kipindi analumbana na Nape kuhusu elimu yake.
Nakumbuka alisema angekuwepo Marekani ama nchi zilizoendelea angekuwa na Tertiary degree ila kwakuwa yupo Tz ndo mana ameishia kuwa na form six kama ndo elimu yake ya juu ya darasani.
 
Haya maswali muulize mwenyewe atakujibu wala hana tatizo katika kujibu yale yanayomuhusu!
 
Ritz posho ya Christmas haijatoka?? maana huyo muuliza maswali ni mwenzenu!
 
Back
Top Bottom