Mfahamu vizuri Sebastian Maganga

Mfahamu vizuri Sebastian Maganga

huyu jamaa alianzia redio kadhaa za jijini kabla hajachomoka kwenda nje miaka iyo na kurudi kwa kasi ya ajabu moja kwa moja mjengoni Clouds Media.

jamaa ni jembe.

yeye ndo program manager wa vipindi karibu vyote vya clouds na ndo anatoa mwelekeo wa kipindi kizima kiweje na mtangazaji aongee je.....binafsi kama ndivyo ilivyo basi anastahili pongezi kwa kazi nzuri.....

ila wanasema behind every successful man there is a Woman.....tunaomba data hapa!!...🎻
ALianza redio uhuru kitambo sana.
 
Ameoa dada yangu huyo jamaa, kuhusu hio sifa ya program manager mbona kila mtu anaipewa tu hapo mjengoni?
 
Pole Kaka. Mungu awape faraja katika kipindi hiki kigumu
 
Wakuu kuna mtu pale cmg anaitwa sebastiani ndege kapotea kwa mda mrefu huyu bwana ni MD nadhani tupeni taarifa zake

Sent using iphone
 
Aliondoka muda mrefu akaenda kuanzisha akiwa na ndugu take jembe fm,jembe ni jembe na skylight band japo siisikii siku hizi
 
Back
Top Bottom