King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
ALianza redio uhuru kitambo sana.huyu jamaa alianzia redio kadhaa za jijini kabla hajachomoka kwenda nje miaka iyo na kurudi kwa kasi ya ajabu moja kwa moja mjengoni Clouds Media.
jamaa ni jembe.
yeye ndo program manager wa vipindi karibu vyote vya clouds na ndo anatoa mwelekeo wa kipindi kizima kiweje na mtangazaji aongee je.....binafsi kama ndivyo ilivyo basi anastahili pongezi kwa kazi nzuri.....
ila wanasema behind every successful man there is a Woman.....tunaomba data hapa!!...🎻
Umesahau hio line, "Kibonde anatukana redioni hana akili kichwani au anavyosambaza ngoma makusudi mtaani anadhani hatumuoni!""Kibonde anatukana ovyo radion hana akili kichwani au anavyosambaza drum makusudi mitaani"--Sugu
Ameoa dada yangu huyo jamaa, kuhusu hio sifa ya program manager mbona kila mtu anaipewa tu hapo mjengoni?huyu jamaa alianzia redio kadhaa za jijini kabla hajachomoka kwenda nje miaka iyo na kurudi kwa kasi ya ajabu moja kwa moja mjengoni Clouds Media.
jamaa ni jembe.
yeye ndo program manager wa vipindi karibu vyote vya clouds na ndo anatoa mwelekeo wa kipindi kizima kiweje na mtangazaji aongee je.....binafsi kama ndivyo ilivyo basi anastahili pongezi kwa kazi nzuri.....
ila wanasema behind every successful man there is a Woman.....tunaomba data hapa!!...🎻
Life is too shot.Umesahau hio line, "Kibonde anatukana redioni hana akili kichwani au anavyosambaza ngoma makusudi mtaani anadhani hatumuoni!"
Sana mkuu, just embrace itLife is too shot.
Kwa hiyo ww ni mdogo wake Salome??Ameoa dada yangu huyo jamaa, kuhusu hio sifa ya program manager mbona kila mtu anaipewa tu hapo mjengoni?
'Sujui’?Upuuzi huu!! Mtu unatoa sifa ndeefu bila details zozote afu heading eti mfahamu vizuri sujui nini nini!?
Kitu kama hichoKwa hiyo ww ni mdogo wake Salome??
Sawa mkuuKitu kama hicho
Aliondoka muda mrefu akaenda kuanzisha akiwa na ndugu take jembe fm,jembe ni jembe na skylight band japo siisikii siku hiziWakuu kuna mtu pale cmg anaitwa sebastiani ndege kapotea kwa mda mrefu huyu bwana ni MD nadhani tupeni taarifa zake
Sent using iphone
Tatizo ilianzishwa kwa malengo ya kuimaliza Machozi Band ya JayDee. So, imekufa natural death.Aliondoka muda mrefu akaenda kuanzisha akiwa na ndugu take jembe fm,jembe ni jembe na skylight band japo siisikii siku hizi
Ishakufa dahTatizo ilianzishwa kwa malengo ya kuimaliza Machozi Band ya JayDee. So, imekufa natural death.