Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,030
- 20,391
Volodymyr Oleksandrovych Zelensky (alizaliwa 25 Januari 1978) ni mwanasiasa, mwandishi wa filamu, mwigizaji wa filamu, mchekeshaji na rais wa sasa (wa 6) wa Ukraine toka 20 Mei 2019.
Kabla ya kujihusisha na siasa, alipata shahada ya sheria na baadaye akaanzisha kampuni ya filamu, katuni na vipindi vya ucheshi vya televisheni, Kvartal 95.
Kati ya miaka 2015-2019, Kvartal 96 ilirusha mfululizo wa vipindi vya televisheni vilivyoitwa Servant of the People ambapo Zelensky aliigiza kama Rais wa Ukraine. Chama cha siasa Servant of the People kilianzishwa Machi 2018 na wafanyakazi wa Kvartal 05.
Tarehe 31 Desemba 2018, Zelensky alitangaza rasmi kuwa atagombea urais. Miezi sita kabla ya kutangaza nia yake ya kugombea urais, alikuwa tayari kati ya wagombea waliokuwa wakiongoza kwenye kura za maoni. Zelensky won the election with 73.22% of the vote, defeating incumbent Petro Poroshenko.
Baadhi ya Filamu alizo cheza Volodymyr Zelensky
1- Mwaka 2009 Jina la Filamu Love in the Big City alikuwa kama Igor
2- Mwaka 2011 Jina la Filamu Office Romance. Our Time Ajijulikana kama Anatoly Efremovich Novoseltsev
3- Mwaka 2012 Jina la Filamu Love in the Big City 2 Jina Igor
4- Mwaka 2012 Jina la Filamu Rzhevsky Versus Napoleon jina Napoleon
5- Mwaka 2012 Jina la Filamu 8 First Dates alikuwa akiitwa Nikita Sokolov
6- Mwaka 2014 Filamu ya Love in Vegas Jina I gor Zelensky
7- Mwaka 2015 Filamu 8 New Dates jina Nikita Andreevich Sokolov