Yimakatso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 7,060
- 9,468
Wabongo mna mambo kweli kweli. Yaani wewe una taarifa nyingi na za kuaminika kuliko wananchi wa Ukraine wanaoongozwa naye kwenye mapambano.ameshakimbilia poland baada ya kutonya kuwa sniper wa urusi wapo kiev
Kama angekimbia nchi lazima Urusi ingesema ili kuwadhoofisha wananchi wa Ukraine kwamba Rais wao amewasaliti.
Jamaa ni kidume hasa anawachachafya Urusi hadi dakika hii hawaelewi chakufanya hadi Putin anakimbilia vitisho vya nyuklia baada ya kuona ngoma ngumu.
Russia kajidhalilisha sana ameonesha udhaifu wa askari wake kuanzia wa anga,nchi kavu na majini. Hata waliokuwa wanaaminishwa nguvu ya kijeshi ya Urusi wameanza kupata mashaka.