Mfahamu Volodymyr Zelensky, Rais wa Ukraine

ameshakimbilia poland baada ya kutonya kuwa sniper wa urusi wapo kiev
Wabongo mna mambo kweli kweli. Yaani wewe una taarifa nyingi na za kuaminika kuliko wananchi wa Ukraine wanaoongozwa naye kwenye mapambano.

Kama angekimbia nchi lazima Urusi ingesema ili kuwadhoofisha wananchi wa Ukraine kwamba Rais wao amewasaliti.

Jamaa ni kidume hasa anawachachafya Urusi hadi dakika hii hawaelewi chakufanya hadi Putin anakimbilia vitisho vya nyuklia baada ya kuona ngoma ngumu.

Russia kajidhalilisha sana ameonesha udhaifu wa askari wake kuanzia wa anga,nchi kavu na majini. Hata waliokuwa wanaaminishwa nguvu ya kijeshi ya Urusi wameanza kupata mashaka.
 
Shukran
 
Kwa hiyo alivyoigiza kuwa Rais kwenye tv wakajua atawaongoza vyema hata kwenye maisha halisi...wasijue kwenye tv kuna stori.

Sasa ni wapi na lini ameshindwa kuwaongoza vema wananchi wake?
 
Hapo ndio Katibu Mwenezi wa Chama alipozubaa kumdhibiti Zelensky
 
We huoni hio ilikuwa PROJECT.Unaanza na series ambayo ina maudhui ya kisiasa,kisha unaanzisha chama ambacho tayari Jina lake ni Maarufu kwenye akili za watu,Mshiriki wa filamu husika Ndiye anakuwa mgombea kisha ...................
Sawa nimekusoma kaka.
 
Asante kw anyongeza hiyo
 
Kwa hiyo alivyoigiza kuwa Rais kwenye tv wakajua atawaongoza vyema hata kwenye maisha halisi...wasijue kwenye tv kuna stori.
Hata hivyo mpaka sasa Ukraine inamuamini
 
endelea kuongea wenzako wameanza kutumia mabomu ya petrol
 
We huoni hio ilikuwa PROJECT.Unaanza na series ambayo ina maudhui ya kisiasa,kisha unaanzisha chama ambacho tayari Jina lake ni Maarufu kwenye akili za watu,Mshiriki wa filamu husika Ndiye anakuwa mgombea kisha ...................
Umeona kwa ndan sana mdau. Inaonekana aliandaliwa km Gorbachev aliyeangusha ussr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…