Mfahamu Waziri Mkuu wa zamani wa Israel bwana Ariel Sharon aliyelazwa kwenye Coma kwa miaka 8

Hivi unaijua hata historia ya waziri mkuu wako wa kwanza tanzania ? Au ndo shobo zako kwa wazungu tu
nn alifanya ili tumkumbuke na aandikwe au kwenda kuongea kingereza UN,kambona ,tuntemeke sanga na wengine waliishi kwatabu nakuonekana hawana mana Leo tunatamani hatakwenda kusembua makaburi yao.......KATIBA tu ilimshinda akatoa kauli ,ningeamua kua dictator ningekua dikteta katiba inaniruhusu ,Leo tunaishi kama wendawazimu hivi kweli ,Leo mkali ,kesho afadhari ,Dr mvungi pumzika kwa amani hata prof kabudi Leo asikii haambiliki

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Ila ni myahudi sio mkristo na wayahudi hawamtambui yesu dini ya uyahudi inamwita yesu ni mzushi wao kwao musa ndio kila kitu
 
Kwani yesu aliishi miaka mingapi?
 
Damu ya Wapalestina inaanza kumtafuna hapa hapa duniani kabla hata kaburini. Mungu fundi asikwambie mtu!
Mtu kaishi hadi miaka 86 hlafu iitwe kutafunwa DAMU yako kwasababu ya...!? Jamani, 86 years is not a joke; angepigwa akiwa kijana i could understand but not kwenye huo uzee mwema.
 
Huu ni ubwege. Ingekuwa hivyo basi watu wengine waliounga mkono wapalestina wasingekufa kwa kuumwa. Ni ugonjwa kama ambavyo akina hayatolah khomein walipata au waliumwa na kufa. Hakuna cha damu wala nini. Acheni kujipa moyo kifala.
Tena kama ni adhabu ya Mungu basi Ayatollah Khomein tungesema kapigwa na Mungu just baada ya kutangaza bwana Salmin Rashidie afe mara moja kwa kuandika kile kitabua maarufu kinaitwa AYA za SHETANI, now Salmini aliyeandika hicho kitabu still yupo na Khomein alikufa, nadhani ilikua mwaka 1988/89; Ariel Shoron kaishi over 86 years na amekufa kwa kuumwa kawaida kabisa yaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…