Ndata
JF-Expert Member
- Mar 2, 2017
- 226
- 329
MFAHAMU ZUBER NYEPESI KABWERA.
Zuber alishtumiwa sana kuhakikisha mgombea ubunge wa Chadema jimbo la Musoma vijijini 2010 kutogombea ili mzee Mkono apite bila kupingwa.
Zuber alifanya juu chini Ally Mleh ashindwe Kigoma mjini ili nduguye Serukamba apite.
2015, Zuber alishiriki kwa asilimia kubwa kuhujumu ushindi wa Kafulila aliyeinekana tishio la watawala.
Zuber kwa makubaliano maalum alibadilishana jimbo na Serukamba wa Ccm mwaka 2015 baada ya wote kuboronga majimbo yao ya awali.
Zuber alilipwa B10 kufanikisha usajili na ziara za ACT ili iwe mbadala wa Chadema iliyionekana tishio la Ccm.
Huyo ndio Zuber ambaye alishiriki juu chini kusuka mipango ya Magufuli kushinda akishirikiana na kina January Makamba wa Ccm.
Sasa 2020 Kigoma ni bora tupate Ccm pure kuliko huyu Ccm B almaarufu kama ndumbilakuwili.