Mfalme Abdallah anyang'anywe udhamini wa masjidul Aqsa

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
10,509
Reaction score
16,734
Sijui maamuzi ya kuifanya Jordan kuwa wadhamini wa msikiti mtakatifu wa Aqswa yalifanyika kwa mtindo gani.Kinachoonekana maamuzi hayo yalikuwa na kasoro kubwa kwani waiokabidhiwa hawastahiki kazi hiyo muhimu na ya kiibada.

WatawalaJordan wakipenda wanaweza kuzima madhila yote ya wapalestina kwa muda mfupi sana hata kuliko Misri.Hilo hawajaweza kulifanya lakini wanapokaa kimya kwa uvunjwaji wa heshima wa msikiti huo ambao ni moja ya ishara kuu za uislamu kunafanya iwepo haja ya kuhojiwa maamuzi hayo na kuchukuliwa hatua stahiki.

Imamu mkuu wa masjid Aqswa katika siku za karibuni amekuwa akitoa taarifa mbaya kila siku kuhusiana na wafuasi wa dini ya kiyahudi wanaoingia msikitini humo kufanya ibada zao huku wakilindwa na askari wa Israel.

Angekuwa ni mdhamini wa kweli basi matukio kama hayo yangemuonua alipo na kutishia kupeleka vijana kuulinda msikiti huo.Asingeweza hivyo angetoa sauti kali ya onyo likasikika dunia nzima.Yote hayo hayajatokea.
Mfalme mjinga au shoga la kimagharibi.
 
Kama wanaingia kusali na hawaibi au kuharibu mali ya nn ahangaike nao,,,kwn hyo n nyumban ya Mungu na wanaosali n watu wake ,haijakishi n wayahudi au waarabu.stuka mkuu dini n njia ya kumwendea Mungu muumba wetu
 
Tuwazeni na mambo mengine wakuu

Kila uchwao ni dini tu? Kwa nini isiwe hatima ya watoto wetu katika nchi yetu pendwa Tanzania na ukoloni wa ccm
 
Kama wanaingia kusali na hawaibi au kuharibu mali ya nn ahangaike nao,,,kwn hyo n nyumban ya Mungu na wanaosali n watu wake ,haijakishi n wayahudi au waarabu.stuka mkuu dini n njia ya kumwendea Mungu muumba wetu
Mbali na kwamba ni katazo la uislamu pia mayahudi wanavunja makubaliano waliyokubaliana.
 
Miafrika imeamka na dini tena, umasikin wa akili ni mbaya sana. Sasa kwanini huyo Allah anawategemea viumbe dhaifu wamlindie msikiti yeye anafanya nini ili aendelee kuitwa Mungu.
 
Ukijua lengo la kuumbwa kwako duniani hilo halikupi shida.
 
Sijui maamuzi ya kuifanya Jordan kuwa wadhamini wa msikiti mtakatifu wa Aqswa yalifanyika kwa mtindo gani.Kinachoonekana maamuzi hayo yalikuwa na kasoro kubwa kwani waiokabidhiwa hawastahiki kazi hiyo muhimu na ya kiibada.

WatawalaJordan wakipenda wanaweza kuzima madhila yote ya wapalestina kwa muda mfupi sana hata kuliko Misri.Hilo hawajaweza kulifanya lakini wanapokaa kimya kwa uvunjwaji wa heshima wa msikiti huo ambao ni moja ya ishara kuu za uislamu kunafanya iwepo haja ya kuhojiwa maamuzi hayo na kuchukuliwa hatua stahiki.

Imamu mkuu wa masjid Aqswa katika siku za karibuni amekuwa akitoa taarifa mbaya kila siku kuhusiana na wafuasi wa dini ya kiyahudi wanaoingia msikitini humo kufanya ibada zao huku wakilindwa na askari wa Israel.

Angekuwa ni mdhamini wa kweli basi matukio kama hayo yangemuonua alipo na kutishia kupeleka vijana kuulinda msikiti huo.Asingeweza hivyo angetoa sauti kali ya onyo likasikika dunia nzima.Yote hayo hayajatokea.
Mfalme mjinga au shoga la kimagharibi.
Webabu mwarabu hana uchungu na msikiti wew uchungu unautoa wapi?
 
Back
Top Bottom