Mfalme aliyekuwa wa Zanziba, Sultan Sayyid Jamshid ni mzawa mzaliwa wa Zanzibar hakuja kama Mgeni

Nimekuuliza umewahi kumuona mtu anatema asali na kutamani pilipili naona unajikanyaga tu. Labda nikupe kilicho chepesi kwako JE UMEWAHI KUMUONA MTU ANATOROKA PEPONI NA KUKIMBILIA MOTONI?
Je mtu huyo atakuwa taamam kiakili?
 
dini ya marehemu mohamedi kweli ni ya ajabu sana, mnafananisha uingereza na peponi? halafu kinafiki mnayaita mataifaa ya magharibi eti ni wapinga uislamu SASA MNAFANYA NINI HUKO HAKI KUPAITA PEPONI? WAISLAMU UKUBALINI UKWELI ILI MUWE HURU
 
Suala la dini umeliingiza wewe mimi wala sipo huko.

Kama UK ni pepo basi ukilinganisha na Tanzania lakin sio Oman.

Je unajuwa kuwa Riyal Ya Oman ina thamani mara mbili ya Pesa ya Uingereza? Usimbane jamshid mwache ajinafasi kwani ana pesa nyingi kuliko hao wazungu huko?

kama winter inakukumba wewe masikini lakin yeye kila kiyu kiyoyozi kipo. Je unajuwa anatumia gari kutembelea? jiulize je amewahi kupanda train hapo UK?

usitake kumtia katika shida bureeeeeeee mtu mwenye pesa zake.

Pole sana

Nimekuuliza umewahi kumuona mtu anatema asali na kutamani pilipili naona unajikanyaga tu. Labda nikupe kilicho chepesi kwako JE UMEWAHI KUMUONA MTU ANATOROKA PEPONI NA KUKIMBILIA MOTONI?
Je mtu huyo atakuwa taamam kiakili?

..kwa maoni yangu, Jamshid kuikana Zanzibar na kwenda kuishi huko kwenye ma-winter ni sawa na mfano wako wa mtu aliyetema asali na kubwia pilipili.

..tena niongeze kwamba JAMSHID amekuwa sawa na MTUMWA kwasababu amekataa kwao.
 
Sultan Jamshid ana haki ya kuwa raia wa Zanzibar.
Lakini yeye hataki kuwa raia wa Zanzibar. Waingereza, ndiyo waliomwambia Nyerere ampe njia ya kwenda UK.
Labda nikuulize swali, Je Jamshid anaweza kurudi Oman? Kama royal family?
Kwanini asiende Oman badala ya UK?
 
..kwa maoni yangu, Jamshid kuikana Zanzibar na kwenda kuishi huko kwenye ma-winter ni sawa na mfano wako wa mtu aliyetema asali na kubwia pilipili.

..tena niongeze kwamba JAMSHID amekuwa sawa na MTUMWA kwasababu amekataa kwao.

Hilo naona linakusumbua sana lakin ngoja nikupe darsa kidogo.

Kumbuka kuna uraia wa AINA TATU
1. Uraia wa Kuzaliwa
2. Uraia wa Kurithi
3. Uraia wa kuomba kupitia mamlaka maalum za nchi unayotaka uraia wake.

Jamshid ni sawa na mimi tu wote tumezaliwa Zanzibar, yeye hakuwahi kuchukua uraia wa Znz bali alichukua URAIA WA OMAN moja kwa moja.

Mie nilichukua uraia wa Tz baada ya kusomea kuanzia skuli ya msingi mpaka UDSM na baadae nikaukana na kuuchukua uraia wangu wa asli OMAN.

Jamshid angekuwa mtumwa kama angechukua uraia wa UK kama waTZ wengi wanavyofanya.

Sasa sijui wewe tatizo lako nini hapo KAMA SIO UPEKEPEKE WA kuingilia maisha ya Mtu. Kumbuka kuwa maisha anayoishi huko ni ya kifahari sana na hata watoto wake faisal na Hilmi wanapeta tu.

Nakupa pole ahali angu.

Pole Sana

Siwezi mzungumzia ila nafikiri ameamua kufanya maisha yake huko UK lakin Oman hajafukuzwa. nazungumza hivyo sababu watoto wake kama mara mbili hivi nimeshawahi kuwaona Muscat. Problem yao ni kuwa hawajui lugha yetu ya sli kiarabu wao wanaongea kizungu tu na hivyo mara zote kujiona kama ni wageni
 
..tukiwaambia huyu mtu ni sawa na mtumwa mnabisha.

..mtafutieni namna huyo Sultani arudi kwao Zanzibar.

..Oman hawamtambui. Uingereza anaishi kama mkimbizi. what is that??

..mkataa kwao MTUMWA.
 
..tukiwaambia huyu mtu ni sawa na mtumwa mnabisha.

..mtafutieni namna huyo Sultani arudi kwao Zanzibar.

..Oman hawamtambui. Uingereza anaishi kama mkimbizi. what is that??

..mkataa kwao MTUMWA.

Pole sana kwa husda zako dhidi ya Jamshid.

Litakuchwea
 
Pole sana kwa husda zako dhidi ya Jamshid.

Litakuchwea

..yaani kumtetea Jamshid arudi Znz imekuwa husda??

..wewe mbona unarudi kwenu Znz, lakini hutaki Jamshid apate fursa hiyo??
 
thread ndefu sana hadi inachosha kuisoma...halafu haina basic interest wala vision...naona umerudia sana maneno hadi umejichanganya....heading yako haihusiani moja kwa moja na ulichokiandika ndani.....
kwani hukusoma ufupisho wa habari katika somo la lugha?
 
kati ya watawala wabaya kabisha niliowahi kufundishwa historia yao, sultani jamshid ni miongoni mwao nitapambana kufa na kupona kuhakikisha zanzibar hawezi rudi kitukuu hadi kilembwekeza. Nasikiaa haraakati zote hizi za kuvunja muungano zimeasisiwa na yeye pamoja na mtoto wake (mfalme mtarajiwa baada ya jamshid)
 
Nnakumbuka maneno yale yale ya Lukuvi kule kanisani Dodoma, Kwani Muungano wenu umefunganishwa na Mungu au wan'Adam (Nyerere na karume) kwa interest zao binafsi?

kama kweli Tz ni waumini wa Muungano mbona wao ndio walikuwa vinara wa kuvunjika kwa EAC mwishoni mwa miaka ya 70's?

Je umeshapata habari kuwa mchakato umeanza kwa kasi sana Znz kama NCHI kujiunga na OIC na unatarajiwa kukamilika kabla uchaguzi wenu wa 2015?

Ahali yangu pole sana na historia zako potofu kwani ndizo hizo hizo historia zako zinazokupelekea kumtukuza Nyerere kiasi cha kumfanya mtakatifu wakti ni yeye ndie aliyewafikisheni hapo mlipo (mgororo wenu wa muungano, muundo wa Serikani zenu na kubwa na baya zaidi UMASIKINI MLIONAO) sababu alijikweza kisiasa na kuwauwa kiuchumi.

Pole sana

..yaani kumtetea Jamshid arudi Znz imekuwa husda??

..wewe mbona unarudi kwenu Znz, lakini hutaki Jamshid apate fursa hiyo??

.. hivi kweli wewe unanafasi gani kumtetea jamshid kurudi Znz? au kwa kutumia JF? pole sana.

.. Mimi nataka uniombe radhwi kwa kunipakazia kuwa mimi NIMERUDI ZNZ au hata TGK. Je una uhakika ni hicho ulichoandika?

kifupi sijawahi na wala sijafikiria kurudi zaidi ya kuja kutembea na kusabahi ndugu, jamaa na marafiki zangu tena kwa kutumia njia halali ya kuomba viza.

.. Uniombe radhwi kwa kunilisha maneno.

..sasa Sultani yeye kwanini asije Znz na Tgk kuwajulia hali ndugu, jamaa, na marafiki zake?

..Sultani hana haja ya kuomba viza, Tanzania[Tgk na Znz] ndiyo kwao.

..MKATAA KWAO MTUMWA.
 
Utawala wa Dk Salmin ulishampa nafasi Jamshid kurudi Zanzibar, katika ile hotuba ya ndugu wa damu
 
..sasa Sultani yeye kwanini asije Znz na Tgk kuwajulia hali ndugu, jamaa, na marafiki zake?

..Sultani hana haja ya kuomba viza, Tanzania[Tgk na Znz] ndiyo kwao.

..MKATAA KWAO MTUMWA.

Samahani sana kumbe nabishana na mtu asiyejua mambo ya kidiplomasia naya uhamiaji.

Mmh, anakuja bila visa kwa sababu yeye ni mzawa!!! pole sana
 
Samahani sana kumbe nabishana na mtu asiyejua mambo ya kidiplomasia naya uhamiaji.

Mmh, anakuja bila visa kwa sababu yeye ni mzawa!!! pole sana

..ndiyo maana tunamkaribisha nyumbani.

..lakini pia asisahau kukata kadi ya CCM hukohuko Portsmouth.
 
..ndiyo maana tunamkaribisha nyumbani.

..lakini pia asisahau kukata kadi ya CCM hukohuko Portsmouth.

Karib sana Znz mie nimekuja jana aljumaa kwenye maziko ya maalim wangu na mzee wangu marhum Mohamed Ahmed Salim maarufu sana tulizowea kumwita Babu Eddy. mdogo wake Salim Ahmed Salim.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…