Mfalme aliyekuwa wa Zanziba, Sultan Sayyid Jamshid ni mzawa mzaliwa wa Zanzibar hakuja kama Mgeni

Mfalme aliyekuwa wa Zanziba, Sultan Sayyid Jamshid ni mzawa mzaliwa wa Zanzibar hakuja kama Mgeni

Kosa lililofAnyikA kumfukuza pale jamshid na kusahau kuwa alikuwa na ndugu zake wengi sana ...kihistoria inasemekana seyyid said alikuwa anazaaa motto mmoja kila mwezi.....imagine mpaka kufa alikuwa kaacha wAngapi ndo Leo wanataman kumrudisha babu yao kwa maslahi ya kifamilia
 
Jamshid ni Mzanzibari kama alivyo Karume na Sheriff Hamad, na ana haki zote alizo nazo mzanzibari mweingine yeyote ikiwa pamoja na uraia wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Nadhani sasa hivi umri wake utakuwa umekuwa mkubwa sana kwake kujiendeleza na mambo ya siasa labda awe kama Mugabe, ila anaweza kabisa kugombea uraisi wa Zanzibar au Urais wa Jamhurri ya Muungano wa Tanzania.

Issue ya Salim kwa kweli hata mimi ilini-disturb sana kwa vile jamaa huyu alituwakilisha watanzania kwa mafanikio sana kule umoja wa mataifa na vile vile alituhudumia kwa ufanisi sana kama Waziri Mkuu baada ya kifo cha Sokoine ila wapenda madaraka wakaja kuchafua jina lake bila hata adabu.
 
Back
Top Bottom