Mfalme Cetewayo wa Zulu

Mfalme Cetewayo wa Zulu

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1627314886467.jpeg

Alitawala Zulu Land kuanzia 1828, katika Ufalme wake alilishinda jeshi la Uingereza lilipovamia na kutaka kupora ardhi ya South Africa. Baada ya kushindwa jaribio la kwanza, Waingereza walirudi nyuma na kujipanga upya. Walio Feza bunduki, kulinganisha na mikuki na mishale waliyoitumia Wazulu, walifanikiwa kushinda vita na kumteka Mfalme Cetewayo.

Mfalme alipelekwa Uingereza kukutana na Malkia Victoria. Hakuna anaefahamu mazingira aliyopitia Mfalme Cetewayo, lakini siku alipokutana na Malkia Victoria alikua amevaa bathrobe. Hii ndiyo nguo aliyopewa na watesi wake.

Baada ya mkutano na Malkia, Waandishi wa habari walimuuliza mkutano ukienda je, aliwajibu kupitia mkalimani wake kuwa mkutano ulikua mzuri na Malkia Victoria ni mwanaume kama sisi yule si mwnamke.

Kutoka pale Waingereza walisema Cetewayo has been humbled. Huu ulikua ni mwanzo wa Wazunguwna Makaburu kuchukua ardhi ya Afrika Kusini.
 
Back
Top Bottom