Kwanza pole kwa msiba pia nikupongeze kwa kukabidhiwa madaraka ya kuongoza Taifa. Kufuatia msiba wa Malkia. Langu Ni makaribisho nchini kwenye hifadhi ya taifa ya Serengeti baada ya shughuli za kuzika/msiba kwisha.
*Mfalme Charles III Ni Mkuu wa nchi zifuatazo;
1. Australia,
2. Canada,
3. New Zealand,
4. Antigua and Barbuda,
5. The Bahamas,
6. Belize,
7. Grenada,
8. Papua New Guinea,
Solomon Islands,
9. Tuvalu,
10. United Kingdom.
**Pia, Ni supreme Governor wa Church of England.
Chadema mmezoea kutawaliwa na Mwenyekiti mnataka kila mtu awatawale.Mfalme Charles III karibu ututawale baba karibu sana
Kampokee Serengeti baba yako Wa Kambo anakuya na Furushi la PAUNDI teh teh teh.....Chadema mmezoea kutawaliwa na Mwenyekiti mnataka kila mtu awatawale.
Karibu sana
Bange hizoTunaomba mfarume amuoe mjane wa dona kantre
Asante kwa hili somo, nilipotazama UK sikujua kama mizizi yao imekwenda mbali kiasi hikiKwanza pole kwa msiba pia nikupongeze kwa kukabidhiwa madaraka ya kuongoza Taifa. Kufuatia msiba wa Malkia. Langu Ni makaribisho nchini kwenye hifadhi ya taifa ya Serengeti baada ya shughuli za kuzika/msiba kwisha.
*Mfalme Charles III Ni Mkuu wa nchi zifuatazo;
1. Australia,
2. Canada,
3. New Zealand,
4. Antigua and Barbuda,
5. The Bahamas,
6. Belize,
7. Grenada,
8. Papua New Guinea,
Solomon Islands,
9. Tuvalu,
10. United Kingdom.
**Pia, Ni supreme Governor wa Church of England.