uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
Uko hamna maajabu
Karibu na Unguja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu na Unguja
TakbiiirUpumbavu mtupu kuliwa kodi zenu kisa ana damu ya kifalme!
Binadamu nashindwa kumwelewa walahi [emoji2959]
Jamaica vp?Kwanza pole kwa msiba pia nikupongeze kwa kukabidhiwa madaraka ya kuongoza Taifa. Kufuatia msiba wa Malkia. Langu Ni makaribisho nchini kwenye hifadhi ya taifa ya Serengeti baada ya shughuli za kuzika/msiba kwisha.
*Mfalme Charles III Ni Mkuu wa nchi zifuatazo;
1. Australia,
2. Canada,
3. New Zealand,
4. Antigua and Barbuda,
5. The Bahamas,
6. Belize,
7. Grenada,
8. Papua New Guinea,
Solomon Islands,
9. Tuvalu,
10. United Kingdom.
**Pia, Ni supreme Governor wa Church of England.