Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini hakumlala, ndio tofauti!Ishu ni kwamba tamaduni za Isreal ziliruhusu wafalme na viongozi wa juu wa dini kuoa mabinti ambao bado hawajabalehe, kuhusu kulala nao ama kutolala nao yalikuwa ni maamuzi binafsi,
Pia ikumbukwe hapo Daudi alikuwa mzee sana yapata miaka 90 anaoa binti wa miaka kama 10 ama 9, kitendo cha kumuoa ni tiketi ya kuweza kufanya tendo la ndoa ila kwavile pengine alikuwa mzee sana hakuweza hata kuperform.
Siweke verse , nenda kasome bibliaUje na ushahidi sio maneno matupu, weka verse
Alafu wewe ni pedophile, mada zako ni kutetea ma child molesterUje na ushahidi sio maneno matupu, weka verse
Kama ilivyo desturi Uislamu mara zote hutafuta uhalali wa imani yake kupitia Biblia, jaribio hili piahalina tofauti na hayo. Hiki ulichoandika ni upotoshaji usio na msingi wowote kimaandiko kama nitakavyooneaha hapa.Uzi huu kwa namna yoyote sihamashi ndoa za mabinti wadogo bali ni kuwekana sawa tu kwamba katika zama za kale tamaduni hazikuruhusu tu upande wa Mohammed kuoa mabinti wadogo bali ni hata kwa waisrael na mababu zetu, hivyo ninatoa elimu.
Kumekuwa na hali iliyozoeleka baadhi ya wakristo wakihoji ni vipi Muhammad alioa msichana mdogo ila kwa upande wao wanasahau kujihoji ni vipi waru kama Mfalme Daudi akiwa na miaka 90 alioa msichana mdogo wa rakribani miaka 9 hadi 10.
Katika biblia tafsiri za lugha zingine zimetambua tu kwamba mfalme daudi alioa binti mdogo pasipo kuweka wazi ni rika lipi na sijui kwanini hawakuweza kuweka hata kwenye mabano.
Mfalme Daudi, wakati alipokuwa mzee sana takribani miaka 90, watumishi wake walimfunika kwa mablanketi, lakini hata hivyo, hakuweza kupata joto. Kwa hivyo wakamwambia, “Bwana wetu mfalme, afadhali tukutafutie msichana akutumikie na kukutunza; alale pamoja nawe kusudi akupatie joto.”
Daudi muda huo alikuwa tayari mzee sana takribani miaka 90, akaoa binti wa miaka takribani 9 ama 10, kwa uzee alionao Daudi kwa miaka hio ilikuwa ngumu kufanya tendo na binti lakini binti aliweza kulala nae kitanda kimoja kwajili ya kumpa joto pekee pasipo kufanya s*x.
Mabinti wenye miaka chini ya 12 walijulikana kama NA’ARAH ( נַעֲרָה ) - hawa ni mabinti ambao waliweza kuolewa na wafalme ama viongozi wa dini wa hadhi ya juu (high priests) katika falme ya israel, ikumbukwe kwa wakati huo tamaduni za Israel ilikuwa kwamba binti akishafika miaka 12 na kuaga rika la NA’ARAH hapo ilikuwa ndio umri wa kuolewa, sijajua ilikuwa vipi mabinti wadogo wa miaka 13 hadi 15 wanaolewa na hata Mariam kuwekwa mimba kimiujiza akiwa bado binti mdogo (toho inanisita kuamini) lakini kwa dunia ya sasa huo umri hatuwezi kukuelewa,
Maandiko yenye mfano wa hao mabinti chini ya miaka 12 kuolewa mfano wake ni huu hapa 1 wafalme 1: 2-3. kwa lugha zingine wametafsiri ni binti mdogo na wengi kwa mazingira ya kisasa tunaweza vuta picha ni binti wa miaka 19 lakini neno lililotumika katika maandiko ya ki israel yameonesha wazi kabisa binti alieolewa ni chini ya miaka 12 a.k.a NA’ARAH ( נַעֲרָה )
![]()
Transliteration: naʿărâ |
| Pronunciation: nah-ar-aw' |
| Part of Speech: feminine noun |
| Root Word (Etymology): From נַעַר (H5288) |
| TWOT Reference: 1389c |
Outline of Biblical Usage:
|
| KJV Translation Count: 62x The KJV translates Strongs H5291 in the following manner: damsel (34x), maiden (16x), maid (7x), young (4x), young woman (1x). |
Mbona unarudia yale yale sasa, Hio ni definition iliyoangalia neno hilo limetumikaje kwenye biblia ambazo zimeshatafsiriwa bila kuangalia maana ya neno halisi katika lugha na tamaduni za wayahudi.Kama ilivyo desturi Uislamu mara zote hutafuta uhalali wa imani yake kupitia Biblia, jaribio hili piahalina tofauti na hayo. Hiki ulichoandika ni upotoshaji usio na msingi wowote kimaandiko kama nitakavyooneaha hapa.
Strong number ambayo inabeba tafsiri ya maneno ya asili yaliyotumika kwenye Biblia inasema hivi:
Transliteration: naʿărâ![]()
Pronunciation: nah-ar-aw' Part of Speech: feminine noun Root Word (Etymology): From נַעַר (H5288) TWOT Reference: 1389c Outline of Biblical Usage:
- girl, damsel, female servant
- girl, damsel, little girl
- of young woman, marriageable young woman, concubine, prostitute
- maid, female attendant, female servant
KJV Translation Count: 62x
The KJV translates Strongs H5291 in the following manner: damsel (34x), maiden (16x), maid (7x), young (4x), young woman (1x).
Tofauti na sisi waafrika, wenzetu walikuwa wanatunza historia za tamaduni zao hasa ukizingatia jamii zao walithamini sana elimu.Umejuaje kama alikua hajavunja ungo?.na huo umri wewe umeutoa wapi?
Angalia hoja yake, suala la dini yake amejitambulisha tu ila dhamira yake haiko kwenye utambulisho wake..Pamoja na kwamba unajinasibisha na ukristo, lakini swali ulouliza ni “ambiguity” kwenye muktadha wa imani hizo mbili.
Kama wewe ni mkristo, unamfananishaje Mfalme Daudi na Mtume Muhammad wa waislam? Tafadhali jaribu kufananisha apple [emoji519] kwa apple [emoji519].
Wewe ni muislam na umeshajuwa udhaifu wako ulipo ndiyo maana umejidai kuwa wewe ni mkristo. Shame on you!
Kwahy kwa mfano western Nation zote zimeruhusu uchokoo kwahy na bible na Quran ziruhusu uchoko kisa tu sheria,maadili na tamaduni za huko zimeruhusu uchoko?Ni kweli kuwa katika Biblia, tafsiri za lugha zingine zinatofautiana kuhusu umri wa binti ambaye Mfalme Daudi alimwoa. Hata hivyo, katika tafsiri ya kisasa ya Biblia ya Kiswahili, hakuna tafsiri inayotoa maana ya kwamba alikuwa mtoto mchanga au mwenye umri mdogo sana.
Ingawa tamaduni za zamani zilikuwa tofauti na za sasa, ni muhimu kutambua kuwa kuolewa kwa wasichana walio na umri mdogo ni kinyume cha sheria na maadili ya jamii nyingi za leo. Ni vyema kutafsiri maandiko kwa kuzingatia maadili na kanuni za jamii ya sasa.
Kwa hivyo, badala ya kutumia maandiko kama kisingizio cha vitendo ambavyo havikubaliki kimaadili, ni muhimu kuzingatia kanuni za maadili na sheria za nchi husika.
Weka rejea sio hadithi. Strong number ni index iliyohakikiwa, hivyo kama unaijataa hiyo WEKA REJEA YA HIXO TAMADUNI nami nitakuwekea ushahidi wa kimaandiko wa tamaduni.Mbona unarudia yale yale sasa, Hio ni definition iliyoangalia neno hilo limetumikaje kwenye biblia ambazo zimeshatafsiriwa bila kuangalia maana ya neno halisi katika lugha na tamaduni za wayahudi.
Kwenye biblia zilizotafsiriwa zilikosa neno fupi la kudescribe binti mdogo chini ya miaka 12 ikabidi watumie tu neno binti mdogo??
Hayo ni mambo ya tamaduni kabisa yalikuwepo, kulikuwa na marika mawili yanayotenganisha wasichana wadogo na wale waliobalehe, umri uliotumika kutenganisha ni miaka 12, kundi la kwanza waliitwa na'arah na wanaofuata waliitwa bogeret.
Ama ngoja tu niuonyeshe UONGO wako hapa:Mbona unarudia yale yale sasa, Hio ni definition iliyoangalia neno hilo limetumikaje kwenye biblia ambazo zimeshatafsiriwa bila kuangalia maana ya neno halisi katika lugha na tamaduni za wayahudi.
Kwenye biblia zilizotafsiriwa zilikosa neno fupi la kudescribe binti mdogo chini ya miaka 12 ikabidi watumie tu neno binti mdogo??
Hayo ni mambo ya tamaduni kabisa yalikuwepo, kulikuwa na marika mawili yanayotenganisha wasichana wadogo na wale waliobalehe, umri uliotumika kutenganisha ni miaka 12, kundi la kwanza waliitwa na'arah na wanaofuata waliitwa bogeret.
Weka ushahidi acha UONGO na UZUSHI. Biblia sio ngano za kufikirikakila jambo limeandikwa. Acha tabia ya kuandika mawazo yako kuhusu maandiko bali shusha chanzo cha taarifa zako hapa.Tofauti na sisi waafrika, wenzetu walikuwa wanatunza historia za tamaduni zao hasa ukizingatia jamii zao walithamini sana elimu.
Utamaduni wa muda huo ni kwamba miaka 12 ndio uliamuliwa kuwa umri wa kuwatenganisha wasichana wadogo na mabinti ambao wamevunja ungo, kama ulipitia sekondari basi najua ulifuna kitu kinaitwa average kwenye somo la hisabati, haimaanishi kwa wote bali ni wastani,
Wasichana chini ya miaka 12 waliitwa na'arah na zaidi ya miaka 12 waliitwa bogereth
Sio kuhusu hili unapojaribu kulipotosha, weka ushahidi sio stori zako. Nimekuwa andiko moja nasubiri ujibu kwa andiko au angalau source ya hoja yako. Umeanza kwa kupotosha ANDIKO kwa madai eti BIBLIA ZILIZOTAFSIRIWA, halafu ukatoa neno lile lile kwa lugha ya Kiebrania. Hoja yako sio maana ya neno hilo bali UNAPINGA TAFSIRI YA BIBLIA. Kwa muktadha huo hoja yako ni dhaifu na yenye chokochoko za kidini kama ilivyo kawaida ya Waislamu kujaribu kupotosha.kwa nilichoona hadi sasa ni mambo mengi sana waisrael na waarabu walifanana kwenye tamaduni isipokuwa tu kwavile ukristo ulikulia zaidi ulaya, wazungu wakagoma kuingiza vitabu vyenye tamaduni za ki israel kwenye biblia maana tamaduni za israel zilikuwa tofauti na zao, tamaduni za israel ziliruhusu kuoa zaidi ya mke moja, utaratibu wa urithi, mazishi ni tofauti na tamaduni za ulaya, mambo ya ndoa yamerahisishwa, n.k.
Oyah, tusichukuliane poa, haunijui mimi ni mwislam, mkristu ama ambae sina dini, kafiri ni wewe na ma*nd yako. Hata hoja yako sikujibu, maana haujitambuiKwahy kwa mfano western Nation zote zimeruhusu uchokoo kwahy na bible na Quran ziruhusu uchoko kisa tu sheria,maadili na tamaduni za huko zimeruhusu uchoko?
Nyie makafirii hamnaga akili za kupambanua mambo mepesi kabisa.