Mfalme Daudi alioa binti ambae bado hajavunja ungo (-12), kwanini hili halipigiwi kelele kama ilivyo kwa upande wa Mohammed?

Lakini hakumlala, ndio tofauti!
 
Ma pedophile yanapotafuta visingizio

Daudi alikuwa binadamu kama wewe mbali na umri hakuna ulipotajwa wa huyo Binti ila Daudi hakumuingilia

Daudi alifanya dhambi tena kubwa tu na akaomba Toba na adhabu juu alipewa

Muhammad yeye aliagizwa na Allah na verse alikuwa anapewa za kuhusu kupiga pipe mpaka akaambiwa waumini wakajitoe kwake apige pipe free
 
Hili bandiko mbona kama ni ushahidi kwa alichokifanya mohamed.
 
Kama ilivyo desturi Uislamu mara zote hutafuta uhalali wa imani yake kupitia Biblia, jaribio hili piahalina tofauti na hayo. Hiki ulichoandika ni upotoshaji usio na msingi wowote kimaandiko kama nitakavyooneaha hapa.

Strong number ambayo inabeba tafsiri ya maneno ya asili yaliyotumika kwenye Biblia inasema hivi:


Transliteration:
naʿărâ
Pronunciation: nah-ar-aw'
Part of Speech: feminine noun
Root Word (Etymology): From נַעַר (H5288)
TWOT Reference: 1389c
Outline of Biblical Usage:
  1. girl, damsel, female servant
    1. girl, damsel, little girl
      1. of young woman, marriageable young woman, concubine, prostitute
    2. maid, female attendant, female servant
KJV Translation Count: 62x
The KJV translates Strongs H5291 in the following manner: damsel (34x), maiden (16x), maid (7x), young (4x), young woman (1x).

Inaposema marriageable young woman unaelewa maana yake? Huo ni umri ambao binti amepevuka tayari kwa tendo la ndoa. Sasa basi umri huu ni miaka mingapi? Wayahudi walioa mabinti wa umri kati ya miaka 14 - 15, huu ndio umri ambapo binti aliingia kwenye period yake tayari kwa kujamiiana. Hivyo futa wazo lako la miaka 12
 
Msingi wa hii mada ni UTETEZI wa sheri ya ndoa kwa watoto wakike chini ya miaka 15 kama unavyoshupaliwa na Baraza la Maulamaa?

Muwe serious kidogo basi!
 
Mbona unarudia yale yale sasa, Hio ni definition iliyoangalia neno hilo limetumikaje kwenye biblia ambazo zimeshatafsiriwa bila kuangalia maana ya neno halisi katika lugha na tamaduni za wayahudi.

Kwenye biblia zilizotafsiriwa zilikosa neno fupi la kudescribe binti mdogo chini ya miaka 12 ikabidi watumie tu neno binti mdogo??

Hayo ni mambo ya tamaduni kabisa yalikuwepo, kulikuwa na marika mawili yanayotenganisha wasichana wadogo na wale waliobalehe, umri uliotumika kutenganisha ni miaka 12, kundi la kwanza waliitwa na'arah na wanaofuata waliitwa bogeret.
 
Umejuaje kama alikua hajavunja ungo?.na huo umri wewe umeutoa wapi?.Lakini pia kibiologia mwanamke anaweza kuvunja ungo kuanzia miaka 8.Zamani kuvunja ungo ndicho kilikua kipimo cha kuolewa.Umri wa sasa umeletwa na serikali na mambo ya shule.Ila mwanamke akivunja ungo ni ruksa kuliwa na mwanaume ukibalee ni ruksa kula.binadamu wa sasa ni dhaifu kimwili ndio maana binti wa miaka 9 tunamwona mdogo ila wa miaka hiyo alikua namwili mkubwa na walikua wanaokewa mabikira tofauti na sasa wanaliwa kwanza na chumvi unakuja kuoa kashajua wanaume wanaojaa mwendo kasi.
 
Umejuaje kama alikua hajavunja ungo?.na huo umri wewe umeutoa wapi?
Tofauti na sisi waafrika, wenzetu walikuwa wanatunza historia za tamaduni zao hasa ukizingatia jamii zao walithamini sana elimu.

Utamaduni wa muda huo ni kwamba miaka 12 ndio uliamuliwa kuwa umri wa kuwatenganisha wasichana wadogo na mabinti ambao wamevunja ungo, kama ulipitia sekondari basi najua ulifuna kitu kinaitwa average kwenye somo la hisabati, haimaanishi kwa wote bali ni wastani,

Wasichana chini ya miaka 12 waliitwa na'arah na zaidi ya miaka 12 waliitwa bogereth
 
Angalia hoja yake, suala la dini yake amejitambulisha tu ila dhamira yake haiko kwenye utambulisho wake..
 
Kwahy kwa mfano western Nation zote zimeruhusu uchokoo kwahy na bible na Quran ziruhusu uchoko kisa tu sheria,maadili na tamaduni za huko zimeruhusu uchoko?

Nyie makafirii hamnaga akili za kupambanua mambo mepesi kabisa.
 
Weka rejea sio hadithi. Strong number ni index iliyohakikiwa, hivyo kama unaijataa hiyo WEKA REJEA YA HIXO TAMADUNI nami nitakuwekea ushahidi wa kimaandiko wa tamaduni.
 
Ama ngoja tu niuonyeshe UONGO wako hapa:

1 Wafalme 1:
1 Kings

1 Mfalme Daudi alikuwa mzee, mkongwe katika siku zake, nao wakamfunika nguo, lakini asipate moto.

1 Now King David was old, advanced in years; and they put covers on him, but he could not get warm.


2 Kwa hiyo watumishi wake wakamwambia, Bwana wangu mfalme na atafutiwe kijana mwanamwali; naye asimame mbele ya mfalme, amtunze; alale kifuani mwako, ili bwana wangu mfalme apate moto.

2 Therefore his servants said to him, "Let a young woman, a virgin, be sought for our lord the king, and let her stand before the king, and let her care for him; and let her lie in your bosom, that our lord the king may be warm."


3 Basi wakatafuta kijana mzuri mipakani mwote mwa Israeli, wakamwona Abishagi, Mshunami, wakamleta kwa mfalme.

3 So they sought for a lovely young woman throughout all the territory of Israel, and found Abishag the Shunammite, and brought her to the king.


4 Naye kijana huyo alikuwa mzuri sana; akamtunza mfalme, akamtumikia; walakini mfalme hakumjua.

4 The young woman was very lovely; and she cared for the king, and served him; but the king did not know her.

Huyu mwanamke aliyetafutwa hakutajwa umri wake isipokuwa WEWE unaeneza UONGO kuwa alikuwa chini ya miaka kumi ili kukidhi kiu yako ya kuhalalisha ngono kwa vitoto. Sasa nakupa andiko linaloelezea Waisraeli walivyokuwa wakitambua umri wa binti kuolewa:

Ezekieli 16
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
⁷ Nalikufanya kuwa maelfu-elfu, kama mimea ya mashamba, ukaongezeka, na kuzidi kuwa mkubwa, ukapata kuwa na uzuri mno; matiti yako yakaumbwa, nywele zako zikawa zimeota; lakini ulikuwa uchi, huna nguo.
⁸ Basi, nilipopita karibu nawe, nikakutazama; tazama, wakati wako ulikuwa wakati wa upendo; nikatandika upindo wa vazi langu juu yako, nikakufunika uchi wako; naam,
nalikuapia, nikafanya agano nawe, asema Bwana MUNGU, ukawa wangu.

Pale binti anapovunja ungo ndipo anapokuwa tayari kwa ndoa, na huu ndio ulikuwa utamaduni wa wana wa Israeli. Umri huo ulikuwa kuanzia miaka 14 kuendelea. Hilo la Muhammad mwache ahangaike nalo mwenyewe na tamaa zake za kingono
 
Weka ushahidi acha UONGO na UZUSHI. Biblia sio ngano za kufikirikakila jambo limeandikwa. Acha tabia ya kuandika mawazo yako kuhusu maandiko bali shusha chanzo cha taarifa zako hapa.
 
Sio kuhusu hili unapojaribu kulipotosha, weka ushahidi sio stori zako. Nimekuwa andiko moja nasubiri ujibu kwa andiko au angalau source ya hoja yako. Umeanza kwa kupotosha ANDIKO kwa madai eti BIBLIA ZILIZOTAFSIRIWA, halafu ukatoa neno lile lile kwa lugha ya Kiebrania. Hoja yako sio maana ya neno hilo bali UNAPINGA TAFSIRI YA BIBLIA. Kwa muktadha huo hoja yako ni dhaifu na yenye chokochoko za kidini kama ilivyo kawaida ya Waislamu kujaribu kupotosha.

Andiko lako limejaa mtazamo wako tu pasipo na ushahidi wowote wa kisomi ama kimaandiko, unawaaminisha wasomaji wasiojua kutazama hoja kwa jicho la pili, huku ukiwa hujaweka hiyo tafsiri yako uneipata wapi, na wapi Wayahudi walioa vitoto vya miaka tisa. Huwezi kumsafisha Muhammed kwa staili hii, jaribu mbinu nyingine.
 
Kwahy kwa mfano western Nation zote zimeruhusu uchokoo kwahy na bible na Quran ziruhusu uchoko kisa tu sheria,maadili na tamaduni za huko zimeruhusu uchoko?

Nyie makafirii hamnaga akili za kupambanua mambo mepesi kabisa.
Oyah, tusichukuliane poa, haunijui mimi ni mwislam, mkristu ama ambae sina dini, kafiri ni wewe na ma*nd yako. Hata hoja yako sikujibu, maana haujitambui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…