Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Ilikua mwaka 1958 Mfalme Hussein wa Jordan aliomba msaada wa kijeshi kutoka Iraq ili kukabiliana na mgogoro wa Lebanon. Mkuu wa majeshi wa Iraq, Colonel Abd al-Karim Qasim aliandaa jeshi. Cha kushangaza alilielekeza jeshi kuingia Ikulu ya Mfalme mjini Baghdad. Mfalme Faisal aliamuru askari wake wasijibu mashambulizi bali wajisalimishe.
Jeshi lilimuamuru Mfalme Abdalah, mke wake Hiyam, mama yake Nafeesa, shangazi yake Abadiya pamoja na wafanya kazi watiifu wa Mfalme wageukie ukutani. Walipigwa risasi. Wote walipoteza maisha pale pale isipokua Mfalme aliokolewa lakini alifia njiani akielekea hospitali.
Kiongozi wa Mapinduzi haya Alikua Kaptain Abdul Sattar Saaba Al-lbousi.
Mfalme Malik Faisal II akikabidhi shahada kwa wahitimu wa chuo kikuu cha Baghdad mwaka 1955.