Mfalme Harald V wa Norway yuko katika hali mbaya ya kiafya na amelazwa hospitalini, ikulu ya kifalme nchini humo imesema.
Mke wake, Malkia Sonja, pamoja na mtoto wake, Mrithi wa Kiti cha Ufalme, Prince Haakon mwenye umri wa miaka 53, wameghairi shughuli zote za kifalme na wamekusanyika katika Hospitali ya Chuo Kikuu cha Oslo, pamoja na wanafamilia wengine wa kifalme.
Mfalme Harald mwenye umri wa miaka 89 amekuwa hospitalini kwa zaidi ya wiki moja akipatiwa matibabu ya ugonjwa adimu wa damu unaojulikana kama haemolytic anaemia, ambao husababisha chembechembe nyekundu za damu kupungua mwilini na hivyo kusababisha uchovu na kupumua kwa shida.
Akiwa madarakani tangu mwaka 1991, Mfalme Harald ndiye mkuu wa nchi mwenye umri mkubwa zaidi barani Ulaya.
===========
King Harald V of Norway is in an "extremely serious" condition in hospital, the country's royal household has said.
His wife, Queen Sonja, and his son, Crown Prince Haakon, have cancelled all royal engagements and they have gathered at his bedside at Oslo University Hospital with other members of the royal family.
The 89-year-old has been in hospital for over a week receiving treatment for a rare blood condition, haemolytic anaemia.
Having been on the throne since 1991, King Harald is Europe's oldest head of state.
Crown Prince Haakon, 53, the successor to the Norwegian throne, has been serving as regent while his father is on leave.
King Harald has been treated in recent weeks with cortisone for haemolytic anaemia, a condition that causes the number of red blood cells in the body to be reduced, and leads to fatigue and shortness of breath.
Members of the royal family were seen arriving at the hospital on Thursday morning, including Haakon's wife, Crown Princess Mette-Marit and her son Marius Borg Høiby.
King Harald's sister, Princess Astrid is also at the hospital, according to reports in Norwegian media.
Source: BBC