Mfalme Mzee Yusuph: Pengo lako halina spea,tafadhari rudi fanini...

ChamaDola

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2016
Posts
3,431
Reaction score
2,804
Hakuna ubishi!
Taarabu imepoa bila uwepo wa Mfalme!
Hakuna ushindani wenye tija,na wala hakuna burudani ya maana!
Kanumba,alikufa akaondoka na Bongo Movie!
Yakabaki mauzauza!
Mzee bado u hai,ebu rudi uokoe jahazi la muziki wetu pendwa!
Naomba!
 
Hakuna ubishi!
Taarabu imepoa bila uwepo wa Mfalme!
Hakuna ushindani wenye tija,na wala hakuna burudani ya maana!
Kanumba,alikufa akaondoka na Bongo Movie!
Yakabaki mauzauza!
Mzee bado u hai,ebu rudi uokoe jahazi la muziki wetu pendwa!
Naomba!
Wewe ni Shetani unayemwitia mzee wa watu Jehanam, mwache amuabudu muumba wake aepukane na adhabu kali ya Allah!
 
okaoni ofkozi,nimekulia tandale beobeo,taarabu nimekua nayo!
 
okaoni asili ya mziki ni pwani,na watu wa pwani wameathiria na uarabu!
Huo ukikekike,ni upande mwingine wa taarabu!
 
Eti alifumua rinda za wanawake kuanzia Mwananyamala mpaka gongolamboto...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…