GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hakuna ubishi!
Taarabu imepoa bila uwepo wa Mfalme!
Hakuna ushindani wenye tija,na wala hakuna burudani ya maana!
Kanumba,alikufa akaondoka na Bongo Movie!
Yakabaki mauzauza!
Mzee bado u hai,ebu rudi uokoe jahazi la muziki wetu pendwa!
Naomba!
Kwakuwa ameshamaliza kutoa ' Kafara / Sadaka ' ya ' naniliu ' wake sasa naamini atarudi tena in full swing Mkuu.