Mfalme Mzee Yusuph: Pengo lako halina spea,tafadhari rudi fanini...

Hakuna ubishi!
Taarabu imepoa bila uwepo wa Mfalme!
Hakuna ushindani wenye tija,na wala hakuna burudani ya maana!
Kanumba,alikufa akaondoka na Bongo Movie!
Yakabaki mauzauza!
Mzee bado u hai,ebu rudi uokoe jahazi la muziki wetu pendwa!
Naomba!

Kwakuwa ameshamaliza kutoa ' Kafara / Sadaka ' ya ' naniliu ' wake sasa naamini atarudi tena in full swing Mkuu.
 
Hakuna ubishi!
Taarabu imepoa bila uwepo wa Mfalme!
Hakuna ushindani wenye tija,na wala hakuna burudani ya maana!
Kanumba,alikufa akaondoka na Bongo Movie!
Yakabaki mauzauza!
Mzee bado u hai,ebu rudi uokoe jahazi la muziki wetu pendwa!
Naomba!

Umemiss mipasho??..aisee!.. nyie ndio mnaharibu sifa za wanaume wa dar!!
 
Ameshaamua kumrudia muumba wake. Hebu muache atende yaliyo mema.

Hiyo taarab wataimba wengine na ukiona wanaoimba hawakufai mkuu hamia hata kwenye bongo fleva.
 
Hakuna ubishi!
Taarabu imepoa bila uwepo wa Mfalme!
Hakuna ushindani wenye tija,na wala hakuna burudani ya maana!
Kanumba,alikufa akaondoka na Bongo Movie!
Yakabaki mauzauza!
Mzee bado u hai,ebu rudi uokoe jahazi la muziki wetu pendwa!
Naomba!
Mwenyewe atakua anatamani kurudi, make kishasema tangu aache kuimba life limekuwa tight, hivi na mkewe malkia leila aliacha???
 
emmyta nisingemwita kama kijoti na omari kopa wangekuwa hai!
 
Wanaume wa Dar
1) mwanaume anasikiliza taarabu na kuimba uku kidole kaweka juu
2) mwaname anasuguliwa kucha na wale vijana wanaopaka rangi dada zetu
3) wako smart wanasugua Gaga wakitoka kuoga
4)mwanamme smartphone yake kaweka kava la mdoli wa rangi ya pinc
4)mmoja aliomba ushaur jana yuko smart akipeana mkono na mtu razima anawe
** Uko Badoo sasa utatapika Kwa Fujo za Wanaume Wa Dar Michicha Miba tuuh Badiliken
 
Hawaniweeeziii ndo mana wananiteta sana oooh! wananichukia ndo mana wananiteta sana oooh!

usinichafue.......
utanitia doa......

Aaaa!! didididididi!! jino moja ..... waaaa!!!!Mbinguni ataenda tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…