Mfalme Ogu wa Bashani: Mnefili pekee aliyepona kwenye Gharika la Nuhu

Je wewe ni mwana wa Mungu? Na je ukioa wana wa binadamu utazaa wanefili?, au siku hizi duniani tumebaki wana wa Mungu tu? Na je kama tumebaki wana wa Mungu(kwa sifa za wana wa Mungu kibiblia) hukumu ya kazi gani?
Kuwa mtoto haina maana hakuna kukosea, na kuwa mtoto kisha ukakosea haina maana hautaadhibiwa.

Tena kila jambo kwa wakati wake, unaweza kuhoji maswali mengi lakini jitafutie majibu ya kuridhisha kitabuni sababu unajua kusoma
 
kama alisalia peke yake kizazi chao kiliendeleaje, kama kiliendelea kwa kuzaliana na binadamu wa kawaida waliingiliana vipi ikiwa maumbo yao ni tofauti kwamfano tuliopewa sawa na binadamu wakawaida ukataka kumuingilia panzi kitu ambacho hakiwezekani.
 
2Samwali 21:2, Wagibeoni ni kabila inayotokana na Waamori, ambao hapo awali walipaswa na wao wauwawe wote kama wengineo, lakini wao walipoona Waisrael wana nguvu wakaamua kufanya ujanja na hivyo waisrael wakawa apia wagibeoni kwamba hawatawauwa, basi kwa kuwa waliwaapia pasipo kutafuta kusudi la Mungu, Mungu aliwaacha na baadaye wakagundua kumbe hawa walikuwa wenyeji wa nchi ile! Basi wakaamua kuwapa kazi ngumu na kuchanja kuni nk, hivyo wakaachwa hai kwa makubaliano hayo ndiyo maana wakaishi miongoni mwa waisrael.

Kwa kuwa wazee wa kiIsrael waliwaapia wazee wa waamori, Mungu husimamia agano, hivyo Sauli alipowauwa kwa sababu ya faida ya Waisrael Mungu akakumbuka kile kiapo cha miaka hiyo! Ndiyo akaleta adhabu kwa Israeli iliyosababishwa na kosa la mfalme Sauli.

Na kisa cha Rahabu kipo wazi, naye aliapiwa usalama wake na waisrael kwa vile aliwaficha wasionekane na askari wenyeji wa nchi. Nadhani umeelewa
Well and good kwa maelezo yako hivyo basi kama hiyo ndio sababu ina maana hukumu ya Mungu inaweza kugeuzwa na mwanadamu si ndio maana yake yaani Mungu aliapa kuwafuta canaan wote ila viongozi wa israel waliweza kuzuia hilo je haiwezi kuwa case kwa Noah naye??

Nlijenga hoja hapa kuwa hata hukumu za Mungu zina exception maana kuna mtu alisema Mungu akishatoa hukumu huwezi pona yeyote sasa kma hawa wagibeoni waliweza kudanganya na wakasamehewa na ile hukumu ya Mungu haikuwapata ina maana hata Nuhu naye kuna uwezekano kumhifadhi mnefili mmoja na Mungu akaheshimu agano??? Sijui hoja inajengeka

Tunafikirashana tu mkuu Karibu kwa majibu

NB: tunaongelea uwezekano kwa kulinganisha na case hii ya wagibeoni

Cc mitale na midimu Malcom Lumumba Kudo900 popbwinyo
 
kama alisalia peke yake kizazi chao kiliendeleaje, kama kiliendelea kwa kuzaliana na binadamu wa kawaida waliingiliana vipi ikiwa maumbo yao ni tofauti kwamfano tuliopewa sawa na binadamu wakawaida ukataka kumuingilia panzi kitu ambacho hakiwezekani.
Mkuu biblia iko wazi kuwa alikuwa na miji zaidi ya 68 ya kabila lake la waamori..... Biblia haisemi kma alikuwa na mke au alikuwa mke wa size gani ila inakubali kuwa alikuwa na uzao mkubwa sana na watoto kma kina aruba na wengineo

kingine kumbuka uzao wa canaan mtoto wa ham na caphtor mtoto wa mizraim walikuwepo pia majitu makubwa sana hata kma wote hawakuwa na damu ya wanefili ila walikuwepo wenye miili mikubwa kma huyo caphtor ambaye uzao wake ulizaa wafilisti baadae kina goliath hivo kuna uwezekano mfalme ogu alipata mwanamke kupitia watoto wa Caphtor walioishi misri ya kale
 
Canopy theory is just a conspiracy, no scientific study has ever backed it!
Hakuna maji ya kutosha huko juu kuweza kunyesha na kufunika uso wadunia!
Vipi kuhusu mali kale za baharini kukutwa juu ya milima kma alps na mengineyo je bado haiwezekani ikaprove kuwa maji ya baharini yaliwahi kufurika hadi kwenye ardhi ikafunikwa??

Tuanzie hapo
 
Well and good kwa maelezo yako hivyo basi kama hiyo ndio sababu ina maana hukumu ya Mungu inaweza kugeuzwa na mwanadamu si ndio maana yake yaani Mungu aliapa kuwafuta canaan wote ila viongozi wa israel waliweza kuzuia hilo je haiwezi kuwa case kwa Noah naye??

Nlijenga hoja hapa kuwa hata hukumu za Mungu zina exception maana kuna mtu alisema Mungu akishatoa hukumu huwezi pona yeyote sasa kma hawa wagibeoni waliweza kudanganya na wakasamehewa na ile hukumu ya Mungu haikuwapata ina maana hata Nuhu naye kuna uwezekano kumhifadhi mnefili mmoja na Mungu akaheshimu agano??? Sijui hoja inajengeka

Tunafikirashana tu mkuu Karibu kwa majibu

NB: tunaongelea uwezekano kwa kulinganisha na case hii ya wagibeoni

Cc mitale na midimu Malcom Lumumba Kudo900 popbwinyo
Kila swali lina jibu lake kwenye kitabu, na kuna majibu mengine mengi tu ambayo bado wanadamu hawajawahi kuuliza tangu kuubwa kwa ulimwengu na majibu yake yapo tayari!

Mungu huwa anaghaili adhabu mara nyingi zaidi kuliko kuiruhusu adhabu hiyo kutekelezeka, lakini hii haitufanyi kurahisisha kwamba Mungu aliamua tu kumhifadhi huyo mnefili kama unavyojenga hii hoja yako kupitia wagibeoni, ujue wazi Mungu anafanya atakavyo wala hakuna mtu wa kumuuliza unafanya nini?

Kwa vyovyote vile hukumu zake hazichunguziki wala hakuna hekima ya kushindana naye!
 
Hapa watu wanatafuta historia flani na kulinganisha na nyakati za biblia ili kujitafutia biblia mpya amna zaidi ya hapo
 
Biblia gani mpya mbona vitabu vya dini vinavyotumika kwenye masynagogue ya waisraeli/wayahudi wanasema ogu alikuwepo kabla ya gharika na alipona gharika sasa why sisi weusi ndio tunashupaza shingo ilihali wenye nchi yao ambapo maandiko yalizaliwa wanakubali simulizi hii

Kingine hapa hatuongezi kitu tunajaribu kupata tu story nzima ya huyu mtu kutoka source mbalimbali ndio maana nikahoji yafuatayo na ningeomba tusaidiane kujibu ili tujue ukweli wa mambo

1. Je kwanini biblia inasema Og alikuwa mnefili aliyebakia?? Je alibakiaje ilihali wote waliangamizwa na gharika tusaidie alitoka wapi??

2. Je kama hakupona kwenye gharika hiyo damu ya wanefili ilivukaje gharika hadi wakazaana na kuishi nchi ya canaan mfano waamori wahivi wahiti annaki caphtori na wengineo

Tuanzie hapo kwanza
 
Kila swali lina jibu lake kwenye kitabu, na kuna majibu mengine mengi tu ambayo bado wanadamu hawajawahi kuuliza tangu kuubwa kwa ulimwengu na majibu yake yapo tayari!

Mungu huwa anaghaili adhabu mara nyingi zaidi kuliko kuiruhusu adhabu hiyo kutekelezeka, lakini hii haitufanyi kurahisisha kwamba Mungu aliamua tu kumhifadhi huyo mnefili kama unavyojenga hii hoja yako kupitia wagibeoni, ujue wazi Mungu anafanya atakavyo wala hakuna mtu wa kumuuliza unafanya nini?

Kwa vyovyote vile hukumu zake hazichunguziki wala hakuna hekima ya kushindana naye!
Hapana mkuu hili jibu liko too complex tofauti na nililouliza

Nachosema ni kwamba kama Hukumu ya wakaanani iliweza kubatilishwa na mwanadamu tena aliyedanganya na akapona hukumu ya Mungu basi tukubali kuwa kuna UWEZEKANO (sio kweli ila uwezakano tu) kwamba Hukumu ya Mungu kwa wanadamu wote "ilibatilishwa" na Nuhu si ndio logic ya mfano huu wa wagibeoni??

Cc Malcom Lumumba popbwinyo Kudo900
 
Vipi kuhusu mali kale za baharini kukutwa juu ya milima kma alps na mengineyo je bado haiwezekani ikaprove kuwa maji ya baharini yaliwahi kufurika hadi kwenye ardhi ikafunikwa??

Tuanzie hapo
ebu ijazie nyama kidogo mkuu, maana kama nimeipenda ivi.
 
Mbona ni frew appstore tu download MB 5 tu ama unataka ya hardcopy ??
Mkuu post#500 inahitaji majibu, maana kama wana wa Mungu ni wa seth je kizazi chake kiliisha lini, ama kizazi cha wanadamu kimeishia wapi?. Kama hivi vizazi vipo kwanini hayazaliwi majitu?,
Kama kilibaki kizazi cha wana wa Mungu tu, je kizazi cha nyoka alichosema Yesu ni cha wapi?
 
Hapana mkuu hili jibu liko too complex tofauti na nililouliza

Nachosema ni kwamba kama Hukumu ya wakaanani iliweza kubatilishwa na mwanadamu tena aliyedanganya na akapona hukumu ya Mungu basi tukubali kuwa kuna UWEZEKANO (sio kweli ila uwezakano tu) kwamba Hukumu ya Mungu kwa wanadamu wote "ilibatilishwa" na Nuhu si ndio logic ya mfano huu wa wagibeoni??

Cc Malcom Lumumba popbwinyo Kudo900
Hukumu ya Wakanaani haikubatilishwa, kwa sababu kuna mambo ambayo Mungu akiamua kuyafanya huwa hayabatilishwi.

Moja kati ya sababu ambazo zilipelekea baadhi ya wenyeji wa nchi ile ya ahadi kuachwa hai na baadaye kuwa mwiba kwa waisrael ilikuwa ni kutokutii kwa waisrael pale walipoambiwa wawauwe watu wote! Na badala yake wao hawakufanya hivyo.

Ndipo Mungu akaamua kuwaacha hao wenyeji wachache wakiwemo wafilisti ambao waliwasumbua sana waisrael nyakati zile.

Bado nasisitiza kwamba mwanadamu hawezi kubatilisha kusudi la Mungu ila mambo yote Mungu anayafanya kwa kududi lake Mwenyewe.

Ukiangalia sana mambo ya Mungu ni mambo ya kushughulisha sana ufahamu wa mwanadamu, mfano anaposema mpende adui yako, wakati sehemu ingine inasema wamekuwa adui zangu nimewachukia kwa ukomo wa chuki.
Napenda nimalizie hivi, mambo ya Mungu si ya kufanya mijadala wala mtu anayetaka kujifunza na kujua haifai kufanya kama anafanya hoja, ikiwa mtu umejipanga kwa malumbano ya hoja juu ya elimu ya Mungu kuna hatari ya kujifunga kwa ufahamu badala ya kufunguliwa ufahamu na kuelewa siri za mambo ya Mungu.

Binafsi huwa sipendi kufanya malumbano kwa sababu siyo sehemu yangu ya uelewa juu ya elimu ya Mungu katika maisha yangu, napenda kujifunza zaidi na zaidi ili nikifikia mahali nami nitumike kwa sehemu yangu kuwaelimisha wengine wenye nia ya dhati ya kutaka kujifunza juu ya elimu ya Mungu na ku share kila mtu anachokijua na kuelimishana.
 
Mkuu post#500 inahitaji majibu, maana kama wana wa Mungu ni wa seth je kizazi chake kiliisha lini, ama kizazi cha wanadamu kimeishia wapi?. Kama hivi vizazi vipo kwanini hayazaliwi majitu?,
Kama kilibaki kizazi cha wana wa Mungu tu, je kizazi cha nyoka alichosema Yesu ni cha wapi?
1.Kuendana na hoja ya kwamba wana wa Mungu ni watoto wa Seth na wanadamu ni watoto wa cain hivyo tunaweza kusema kizazi cha wanadamu yaani cain kilimalizwa kwenye gharika ila kizazi cha seth ndio alipotokea Nuhu hivyo wanadamu wote baada ya gharika baba yetu ni SETH ukimtoa mke wa ham aliyeitwa neitamuk anayesadikiwa kuwa ukoo wa cain

2. Kuhusu kwanini majitu hayazaliwi..... Kama bado unasimamia hoja kuwa wana wa Mungu ni seth na wanadamu ni cain basi jibu ni hayazaliwi majitu sababu ukoo wa cain haupo maana kama hao watoto wa seth walikuwa watu wa kawaida ila walipooa watoto wa cain ndio ikatokea viumbe wa ajabu basi ina maana shida ilikuwa kwa ukoo wa cain huenda baada ya laana walikuwa na ukuaji wa miili tofauti na yetu ndio ikapelekea kuzaa wanefili so jibu ni KWAKUWA UZAO WA CAIN HAUPO

Ila tukifuata hoja ya kuwa malaika walioanguka ndio walizalisha wanadamu jibu lipo kwenye kitabu cha YUDA kuwa malaika hao wamefungwa kuzimu wakisubiri hukumu na moto wa milele hiyo inaweza kueleza kwanni hawazai tena na wanadamu

3.Kwa tafsiri ya Yesu kizazi cha Nyoka kinakuwa kile kinachofuata matendo ya shetani mfano wazinzi wauaji wezi n.k ila wana wa Mungu wanakuwa wale wote wanaofuata na kutenda mafundisho ya Mungu

NB:Kuna mjadala upo kama Kulikuwa na kizazi cha nyoka (shamael) kihalisia.... yaani Eva alizalishwa na Nyoka (kabla hajabadilishwa mwili na kuwa hivi alivo) ndio mtoto akawa Cain na ndio inaeleza kwanini wana wa seth walipooana nao wakazaliwa watoto wa ajabu na wanefili n.k nafkiri hii hoja inaweza elezewa vizuri na kina Mshana Jr

Ni hayo tu
 
1.Ahsante mkuu, ila tatizo ninaloliona tukikataa kuwa wale sio wana wa Mungu, inabidi tuseme wanadamu duniani hawapo (really)?.
2. Endapo netamuki alipona na gharika vipi uzao wake nao uliangamizwa baadae?, maana kama wapo wana wa wanadamu wangeendelea kuwepo vilevile majitu
Maoni yako mkuu
 
Back
Top Bottom