Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Kwa wenye ujuzi wa haya mambo ya madege makubwa tunomba ufafanuzi.
Kwenye hii clip kuna dege kubwa linasemekana lina uwezo wa kutua popote.
Msaada jamani ili tupate ufahamu.
---
Abdulrahman Kinana, akiwa Waziri wa Ulinzi mwaka 1993 alimsindikiza Sheikh Mohammed kama mwakilishi wa serikali ya Tanzania, na mwaka 2018, akiwa Katibu Mkuu wa CCM alirekodiwa akifanya vivyo hivyo kwenye uwanja wa ndege. Ingawa hajawahi kutoa taarifa yoyote kwa umma, Kinana anaripotiwa kuwa mgeni wa mara kwa mara wa wamiliki wa OBC