Mfalme wa Dubai, Mohammed Maktoum mwaka 2018 alitua na ndege Loliondo na KIA kwa shughuli gani? Kwanini aliambatana na Abdulrahman Kinana?

[emoji23][emoji23][emoji23]Dogo unakoment kama vile una hela sana!

Sukuma gang wana hela waneweza kukulea wewe, mumeo na wazazi wako wote,

Muangalie Bashiru na Polepole wanafanana na nani kwenye ukoo wenu kwa hela?

Ndio maana kina Mdee na Mbowe wameona bora waungane na ccm kuramba asali maana wafuasi wake akili zenu aliondoka nazo Lisu
Unaongea kwa nguvu ya K-vant
 
Corona kwa sasa inatibika
 
bila shaka ni AC130 hilo, jungle master aka hell in the sky, DRC wanakoma maana hayo ndio yanatua sana huko ndani na Antonov 12 fulani hivi.

Kule DRC hata mapilot wanaokwenda nazo nao nini mamafia na masoldier wakitambo maana wanaweza kutua usiku na kuruka usiku kwenye kokoto na mapoli mazito shamba likivunwa.

Kapu la mjanja, mjinga hatii mkono.
 
MBZ huyo… si mnataka uwekezqji au hamtaki? Braza anasimamia mabilioni ya Abu Dhabi pamoja na kuwa Rais wa UAE. Ukisoma body language ya kinana utaona anavyonyenyekea. Dah Mungu atusaidie sisi Watanzania.
 
Mbona misemo mingi mingi sana mkuu?
 
MBZ huyo… si mnataka uwekezqji au hamtaki? Braza anasimamia mabilioni ya Abu Dhabi pamoja na kuwa Rais wa UAE. Ukisoma body language ya kinana utaona anavyonyenyekea. Dah Mungu atusaidie sisi Watanzania.
Yaani badala ufurahie wawekezaji wewe unasikitika?
 
bila shaka ni AC130 hilo, jungle master aka hell in the sky, DRC wanakoma maana hayo ndio yanatua sana huko ndani na Antonov 12 fulani hivi.

Kule DRC hata mapilot wanaokwenda nazo nao nini mamafia na masoldier wakitambo maana wanaweza kutua usiku na kuruka usiku kwenye kokoto na mapoli mazito shamba likivunwa.

Kapu la mjanja, mjinga hatii mkono.

Zilikuwa zinatua Mwanza pia kuchukuwa minofu ya samaki mpaka ikatengenezwa docu Darwins nightmare, …

1657366767464.jpeg
 
Yaani badala ufurahie wawekezaji wewe unasikitika?
Kama huyo ni MBZ au Sheikh Maktoum hao ni head of states hata kama kaja binafsi ilipaswa itangazwe. Jiulize kwa nini aje kwa kificho atue porini wakati anatakiwa apokelewe pake JKNI kwa matarumbeta? Makamu mwenyekiti wa CCM hana nafasi zaidi ya pale Chamwino au Lumumba je anafanya nini porini huko?
 
Ndiyo wajomba wa Oman?😁!

Waarabu wanapendelea sana kitoweo cha porini kwa hiyo mjiandae kuhesabiwa!
 
Back
Top Bottom