Naona video umeifungia na kitasa.Kwa wenye ujuzi wa haya mambo ya madege makubwa tunomba ufafanuzi.
Kwenye hii clip kuna dege kubwa linasemekana lina uwezo wa kutua popote.
Msaada jamani ili tupate ufahamu.View attachment 2285175
ndege inatua popote kwenye runway inayowiana na uwezo wa ndegeKwa wenye ujuzi wa haya mambo ya madege makubwa tunomba ufafanuzi.
Kwenye hii clip kuna dege kubwa linasemekana lina uwezo wa kutua popote.
Msaada jamani ili tupate ufahamu.View attachment 2285175
Kipindi cha giza kimepita, sasa ni neema tu kila sehemu, fanya kazi upate pesaKinana, Siro nimewaona, evil regime!
Ubarikiwe sana kiongozi maana elimu haina mwishondege inatua popote kwenye runway inayowiana na uwezo wa ndege
ARTONOV zinatua JK nyerere kitambo tangu ezi za mkapa
miaka yote nilikuwa najua haina uwezo wa kutua pale nimekuja kujua hilo mwaka huu
kuna mi BOING na MiAIBRUS ya maana ya mizigo inatua uwanja wa mwanza tangu miaka ya 90 kubeba samaki
hiyo inaonyesha ni ndege binafsi na ni CUSTOM MADE
ndege ya ABIRIA inaruhusiwa kutua kwenye Viwanja vyenye kukidhi VIGEZO
unless itue kwa dharura