Mfalme wa Dubai, Mohammed Maktoum mwaka 2018 alitua na ndege Loliondo na KIA kwa shughuli gani? Kwanini aliambatana na Abdulrahman Kinana?

Kwa wenye ujuzi wa haya mambo ya madege makubwa tunomba ufafanuzi.

Kwenye hii clip kuna dege kubwa linasemekana lina uwezo wa kutua popote.

Msaada jamani ili tupate ufahamu.View attachment 2285175
Ntu ya dili kazini😀😀😀 i wonder Magufuli left these mothafuckaz alive he should have killed them earlier. Majangili wa taifa
 
Kwa wenye ujuzi wa haya mambo ya madege makubwa tunomba ufafanuzi.

Kwenye hii clip kuna dege kubwa linasemekana lina uwezo wa kutua popote.

Msaada jamani ili tupate ufahamu.View attachment 2285175

Kwa wenye ujuzi wa haya mambo ya madege makubwa tunomba ufafanuzi.

Kwenye hii clip kuna dege kubwa linasemekana lina uwezo wa kutua popote.

Msaada jamani ili tupate ufahamu.View attachment 2285175
Ndio kufungua Nchi huko?

Mmeyataka wenyewe, HAMTOLALA ucngizi.
 
Kipindi cha giza kimepita, sasa ni neema tu kila sehemu, fanya kazi upate pesa
Unaongea kama una hela wakati ni kapuku tu hata wazazi wako kule kijijini wanaliwa na umasikini!

Dogo waonee huruma hata wazazi wako tu tazama walivyo makapuku kisha ona wewe unacho coment
 
Sukuma gang safari hii mna mihasira sana baada ya kugundua kuwa hamna nafasi tena ya kuuza majungu yenu
 
Yanatua popote hasa hasa maeneo ya Ngorongoro na yanaweza kubeba chochote mfano wanyama hai kama mbuzi, ngombe,twiga , pundamilia na hata tembo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Dogo unakoment kama vile una hela sana!

Sukuma gang wana hela waneweza kukulea wewe, mumeo na wazazi wako wote,

Muangalie Bashiru na Polepole wanafanana na nani kwenye ukoo wenu kwa hela?

Ndio maana kina Mdee na Mbowe wameona bora waungane na ccm kuramba asali maana wafuasi wake akili zenu aliondoka nazo Lisu
 
Yanatua popote hasa hasa maeneo ya Ngorongoro na yanaweza kubeba chochote mfano wanyama hai kama mbuzi, ngombe,twiga , pundamilia na hata tembo.
Una roho ya kwanini wewe sukuma gang
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…