Unaongea kwa nguvu ya K-vant[emoji23][emoji23][emoji23]Dogo unakoment kama vile una hela sana!
Sukuma gang wana hela waneweza kukulea wewe, mumeo na wazazi wako wote,
Muangalie Bashiru na Polepole wanafanana na nani kwenye ukoo wenu kwa hela?
Ndio maana kina Mdee na Mbowe wameona bora waungane na ccm kuramba asali maana wafuasi wake akili zenu aliondoka nazo Lisu
Corona kwa sasa inatibika[emoji23][emoji23][emoji23]Dogo unakoment kama vile una hela sana!
Sukuma gang wana hela waneweza kukulea wewe, mumeo na wazazi wako wote,
Muangalie Bashiru na Polepole wanafanana na nani kwenye ukoo wenu kwa hela?
Ndio maana kina Mdee na Mbowe wameona bora waungane na ccm kuramba asali maana wafuasi wake akili zenu aliondoka nazo Lisu
Wajomba zake.Kwa wenye ujuzi wa haya mambo ya madege makubwa tunomba ufafanuzi.
Kwenye hii clip kuna dege kubwa linasemekana lina uwezo wa kutua popote.
Msaada jamani ili tupate ufahamu.View attachment 2285175
Ni kweli.Una roho mbaya sana tena ya kishetani
Huyo ni Sheikh Maktoum au ni MBZ? Wa Abu Dhabi?Nimemuona KINANA na MTAWALA wa DUBAI-TWAFA!
Dege la jeshi 😂Yah, kinana ni dege laweza tua popote
Mbona misemo mingi mingi sana mkuu?bila shaka ni AC130 hilo, jungle master aka hell in the sky, DRC wanakoma maana hayo ndio yanatua sana huko ndani na Antonov 12 fulani hivi.
Kule DRC hata mapilot wanaokwenda nazo nao nini mamafia na masoldier wakitambo maana wanaweza kutua usiku na kuruka usiku kwenye kokoto na mapoli mazito shamba likivunwa.
Kapu la mjanja, mjinga hatii mkono.
Dege la jeshi 😂
Yaani badala ufurahie wawekezaji wewe unasikitika?MBZ huyo… si mnataka uwekezqji au hamtaki? Braza anasimamia mabilioni ya Abu Dhabi pamoja na kuwa Rais wa UAE. Ukisoma body language ya kinana utaona anavyonyenyekea. Dah Mungu atusaidie sisi Watanzania.
Mkuu, upo sahihi ni hercules, ingawa hiyo kwenye video ni hercules L100 (civilian version ya C130)/Hiyo Hercules C130 inawsza kutua sehemu rough.
Muwe mnaelewa swali, hili dege laweza tua kwenye changarawe hizi za tarura😂Hao nadhani ni watalii
bila shaka ni AC130 hilo, jungle master aka hell in the sky, DRC wanakoma maana hayo ndio yanatua sana huko ndani na Antonov 12 fulani hivi.
Kule DRC hata mapilot wanaokwenda nazo nao nini mamafia na masoldier wakitambo maana wanaweza kutua usiku na kuruka usiku kwenye kokoto na mapoli mazito shamba likivunwa.
Kapu la mjanja, mjinga hatii mkono.
Kama huyo ni MBZ au Sheikh Maktoum hao ni head of states hata kama kaja binafsi ilipaswa itangazwe. Jiulize kwa nini aje kwa kificho atue porini wakati anatakiwa apokelewe pake JKNI kwa matarumbeta? Makamu mwenyekiti wa CCM hana nafasi zaidi ya pale Chamwino au Lumumba je anafanya nini porini huko?Yaani badala ufurahie wawekezaji wewe unasikitika?