Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Hoja ya kipumbavu sana sanaZipo sababu za msingi za kufanya hivyo zaidi ya huu umbea wa mitandaoni. Kuna suala zima la ardhi kupoteza uhai wake wakiendelea kuwa pale na kuitumia kulishia mifugo na wao kuishi.
Utakuwa na kichaa sio bure aisee ulipouzwa loliondo miak ya tisini mlihoji niniDhalimu ndio aliua nguvu ya wananchi kuhoji. Sasa hivi kila kiongozi atatumia vyombo vya dola kunyamazisha madai ya wananchi.
Njoo na hoja zenye akili kama unazo.Hoja ya kipumbavu sana sana
Punguza chuki we jamaa. Jikite kwenye hoja , huyo unayemlalamikia ashatangulia, kumtaja hapa haitasaidia CHOCHOTE na usilalamike maana mlitaka mwana demokrasia kwahyo kuhusu rasilimali hizi kwenu haikuwa hoja.Tutulie.Dhalimu ndio aliua nguvu ya wananchi kuhoji. Sasa hivi kila kiongozi atatumia vyombo vya dola kunyamazisha madai ya wananchi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kachoka kuja na ndege kila muda, Bandari kaipata kwa sasa atakuwa anakuja na boti kimya kimya
We angalau utakwenda kwa Mama J. kupooza machungu yako (kama ule mzozo wa rent ulishaisha). Sisi wengine tunaishia kusikitika tu kimya kimya hata pa kupozea machungu hakuna! Kwa spidi hii wajukuu zetu watakuta kitu kweli?Habari km hizi zinanitia Sana uchungu [emoji26]
Wameshachukuwa uwanja wa ndege wa Kilimanjaro. Ndiyo wanautumia kupitishia wanyama na madini.Hii ya lini?
R.I.P StanUtakuwa na kichaa sio bure aisee ulipouzwa loliondo miak ya tisini mlihoji nini
Ulikuwa hujazaliwa bado. Uliza nini kilimkuta mwandishi wa habari aitwaye Stan Katabalo.Utakuwa na kichaa sio bure aisee ulipouzwa loliondo miak ya tisini mlihoji nini
Miaka yote huyo mfalme anakujaga kila mwaka kimyakimya na anaendaga camp zao straight Loliondo. Kule hufanya uwindaji wa wanyama wadogowado na ndege just for fun na kufanya ufuska wa hatari. Anakujaga na convoy ya wanawake, warembo.Hoja ni wao ama si wao?! Na kwa nini ziara hiyo ilifanywa siri? KWA NINI???????
UtazikataaNjoo na hoja zenye akili kama unazo.
Amekuja kutembelea mbuga za wanyama. nisafari za kibinafsi hakuna ulazima wakutangaza.View attachment 2664351Yaani mwarabu anatua na midege apendavyo kwenye rasilimali zetu Watanganyika na kuonyeshwa achague chochote.
Kwanini iwe siri na kwanini ziara hiyo haikuwekwa bayana?
Je, hilo dege la kivita lilitoka hivihivi bila nyara zetu huko porini?
Ee Mungu baba tunusuru waja wako!
Dah nimekosa neno aisee. Huyu ni kiongozi mkubwa na ujio wake nchini ulipaswa uwekwe wazi. Imekuaje?View attachment 2664351Yaani mwarabu anatua na midege apendavyo kwenye rasilimali zetu Watanganyika na kuonyeshwa achague chochote.
Kwanini iwe siri na kwanini ziara hiyo haikuwekwa bayana?
Je, hilo dege la kivita lilitoka hivihivi bila nyara zetu huko porini?
Ee Mungu baba tunusuru waja wako!
Oh🙄Amekuja kutembelea mbuga za wanyama. nisafari za kibinafsi hakuna ulazima wakutangaza.
Sio safari za kiserikali