Mfalme wa Dubai, Mohammed Maktoum mwaka 2018 alitua na ndege Loliondo na KIA kwa shughuli gani? Kwanini aliambatana na Abdulrahman Kinana?

Mfalme wa Dubai, Mohammed Maktoum mwaka 2018 alitua na ndege Loliondo na KIA kwa shughuli gani? Kwanini aliambatana na Abdulrahman Kinana?

Dhalimu ndio aliua nguvu ya wananchi kuhoji. Sasa hivi kila kiongozi atatumia vyombo vya dola kunyamazisha madai ya wananchi.
Punguza chuki we jamaa. Jikite kwenye hoja , huyo unayemlalamikia ashatangulia, kumtaja hapa haitasaidia CHOCHOTE na usilalamike maana mlitaka mwana demokrasia kwahyo kuhusu rasilimali hizi kwenu haikuwa hoja.Tutulie.
 
Habari km hizi zinanitia Sana uchungu [emoji26]
We angalau utakwenda kwa Mama J. kupooza machungu yako (kama ule mzozo wa rent ulishaisha). Sisi wengine tunaishia kusikitika tu kimya kimya hata pa kupozea machungu hakuna! Kwa spidi hii wajukuu zetu watakuta kitu kweli?

Tulikuwa tunawalaumu mababu zetu kwamba waliwezaje kuuzwa na Waarabu na wazungu haya sasa na sisi tunauzwa live! Kumbe inawezekana aisee 😁😁😁
 
Hoja ni wao ama si wao?! Na kwa nini ziara hiyo ilifanywa siri? KWA NINI???????
Miaka yote huyo mfalme anakujaga kila mwaka kimyakimya na anaendaga camp zao straight Loliondo. Kule hufanya uwindaji wa wanyama wadogowado na ndege just for fun na kufanya ufuska wa hatari. Anakujaga na convoy ya wanawake, warembo.
 
View attachment 2664351Yaani mwarabu anatua na midege apendavyo kwenye rasilimali zetu Watanganyika na kuonyeshwa achague chochote.

Kwanini iwe siri na kwanini ziara hiyo haikuwekwa bayana?

Je, hilo dege la kivita lilitoka hivihivi bila nyara zetu huko porini?

Ee Mungu baba tunusuru waja wako!
Amekuja kutembelea mbuga za wanyama. nisafari za kibinafsi hakuna ulazima wakutangaza.
Sio safari za kiserikali
 
View attachment 2664351Yaani mwarabu anatua na midege apendavyo kwenye rasilimali zetu Watanganyika na kuonyeshwa achague chochote.

Kwanini iwe siri na kwanini ziara hiyo haikuwekwa bayana?

Je, hilo dege la kivita lilitoka hivihivi bila nyara zetu huko porini?

Ee Mungu baba tunusuru waja wako!
Dah nimekosa neno aisee. Huyu ni kiongozi mkubwa na ujio wake nchini ulipaswa uwekwe wazi. Imekuaje?
 
Back
Top Bottom