Kuna mambo ktk taifa hili yanaumiza sana ukiyafahamu..
Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema tujalie ustahimilivu Sisi waja wako..Wewe wajua hatma zetu kimwili na kiroho..
Walaze Pema waja wako waliopigania uzalendo wa Taifa hili..Sisi Kwa nguvu na akili zetu hatuwezi kuwashinda kwa lolote..
Hakuna linaloshindikana kwako Mwenyezi Mungu Baba wa Rehema na fadhili…🙏🏿🙏🏿🙏🏿