Mfalme wa Dubai, Mohammed Maktoum mwaka 2018 alitua na ndege Loliondo na KIA kwa shughuli gani? Kwanini aliambatana na Abdulrahman Kinana?

Mfalme wa Dubai, Mohammed Maktoum mwaka 2018 alitua na ndege Loliondo na KIA kwa shughuli gani? Kwanini aliambatana na Abdulrahman Kinana?

Ndo tushaolewa wote mchana kweupe kwa mkopo🥲na hao wajomba na kobazi zao.miaka 100+ milele🙋‍♂️🙅‍♂️
 
Sasa kwanini munasukuma matusi kwa mama na Uzanzibari wake? kumbe ni project ya mda mrefu iliyoratibiwa na watanganyika wenyewe, nahii ilikuwa ni kipindi cha jiwe.
 
Kuna mambo ktk taifa hili yanaumiza sana ukiyafahamu..

Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema tujalie ustahimilivu Sisi waja wako..Wewe wajua hatma zetu kimwili na kiroho..

Walaze Pema waja wako waliopigania uzalendo wa Taifa hili..Sisi Kwa nguvu na akili zetu hatuwezi kuwashinda kwa lolote..

Hakuna linaloshindikana kwako Mwenyezi Mungu Baba wa Rehema na fadhili…🙏🏿🙏🏿🙏🏿
 
Back
Top Bottom