Mfalme wa Dunia Lionel Messi ameripotiwa kununua Private Jet mpya.

BlackPanther

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2015
Posts
9,185
Reaction score
8,715


Ndege hiyo pia imeongezewa nakshi ambapo kwenye ngazi za kuingilia ndani kuna jiko lake (Leo), mke wake (Antonella) na watoto wake watatu (Thiago,Ciro na Mateo) Thamani ya ndege hiyo ni pound milioni 34 ambazo ni zaidi ya bilioni 34 za kitanzania.
 
kidogo kidogo anaanza kuacha ubahiri
 
Haikuja kwa kukaa,ni kwa kuhangaika kwa kuvuja jasho..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…