johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Tanzania tuna matatizo kibao , kama nchi si vizuri kurukia matatizo ya watu ambao hujui origin ya ugomvi waoTanzania tunaweza kukubali offer ya Rais Trump wa Marekani ya kuwahifadhi Wakimbizi wa Palestine
Mwenzetu King Abdullah amekubali kupokea Wakimbizi Watoto 2000 kutoka Palestine
Ahsanteni 🐼
Wasudan mmeishawarudisha kwao? Wapalestina ni marafiki zetu wakija hapa si wakimbizi bali Ndugu.kutoka
Umechoka kuishi kwa amani ?Tanzania tunaweza kukubali offer ya Rais Trump wa Marekani ya kuwahifadhi Wakimbizi wa Palestine
Mwenzetu King Abdullah amekubali kupokea Wakimbizi Watoto 2000 kutoka Palestine
Ahsanteni 🐼
Nani kakwambia Wapalestina wanataka kuondoka kwao na kuja kuishi BongolalaniaTanzania tunaweza kukubali offer ya Rais Trump wa Marekani ya kuwahifadhi Wakimbizi wa Palestine
Mwenzetu King Abdullah amekubali kupokea Wakimbizi Watoto 2000 kutoka Palestine
Ahsanteni 🐼
Napokea mabikira 72 kwa gharama zanguTanzania tunaweza kukubali offer ya Rais Trump wa Marekani ya kuwahifadhi Wakimbizi wa Palestine
Mwenzetu King Abdullah amekubali kupokea Wakimbizi Watoto 2000 kutoka Palestine
Ahsanteni 🐼
Aisee nimecheka sana sijui labda nipo ganja!Tanazania wachukue wapalestina ila wa kike tu wenye umri kati ya 18yrs na 25. Waje wawamwage uswahilini.
Tumechoka kunusa uvundo we weaving na mawig. At least na sisi tufeel ladha halisi ya nywele ya singa.
Source ni Fox news mubasharaWe muongo Lete source...! Acha kubwabwaja