Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Trump kasema sasaMahmoud Abbas hana mamlaka Gaza. Yeye ni Kiongozi wa West Bank.
Kweli uvundo wao umezidi. Unaonaje wanaume wa TZ tuanze campaign kabambe ya kuwavua hayo mawigi na weaving hadharani.Tanzania wachukue wapalestina ila wa kike tu wenye umri kati ya 18yrs na 25. Waje wawamwage uswahilini.
Tumechoka kunusa uvundo we weaving na mawig. At least na sisi tufeel ladha halisi ya nywele ya singa.
walishirikiana na nduli pamoja na Ghaddafihii sijawahi kuisikia wala kuisoma zaidi ya waarabu wa libya
Kweli uvundo wao umezidi. Unaonaje wanaume wa TZ tuanze campaign kabambe ya kuwavua hayo mawigi na weaving hadharani.
Wao kwa wao hawaelewani, itakuwa sisi?Wabaki huko huko waarabu ni wabaguzi na wa dini sana. Wapambane na hali zao wakija hapa labda wakaishi kulee.
Mbavu zangu jamani🤣😂🤣
Waislamu ni watu hatari sana kwenye huu ulimwengu na hautakiwi ucheke nao. Wakiwa wengi tu, migogoro, machafuko na kulazimisha watu wawe kama wao huanza.Wasudan mmeishawarudisha kwao? Wapalestina ni marafiki zetu wakija hapa si wakimbizi bali Ndugu.
😀😀😀😀I wonderTanzania wachukue wapalestina ila wa kike tu wenye umri kati ya 18yrs na 25. Waje wawamwage uswahilini.
Tumechoka kunusa uvundo we weaving na mawig. At least na sisi tufeel ladha halisi ya nywele ya singa.
Sasa USA si ndo kiongozi wa NATO?Misaada hata ikikatwa jorda ina uwezo wa kujitegemea ni ulevi wa madaraka inaofanya viongozi wa kiarabu na kiafrica kukombatia dhulma
Vikwazo huwezi kuwekewa wakati hata eu imeona anachofanya trump hakina misingi ya sheria, na huko kuhusu greenland NATO wamesema watailinda kwa namna yoyote na kwa nguvu zote its not for sale
Kujenga matundu ya choo mmeshindwa mashuleni, mnataka mjioe mzigo mkubwa zaidi?Tanzania tunaweza kukubali offer ya Rais Trump wa Marekani ya kuwahifadhi Wakimbizi wa Palestine
Mwenzetu King Abdullah amekubali kupokea Wakimbizi Watoto 2000 kutoka Palestine
Ahsanteni 🐼
Tutawapeleka Sinza na Machame 🐼Kujenga matundu ya choo mmeshindwa mashuleni, mnataka mjioe mzigo mkubwa zaidi?
na wewe ushaanza kureply kama smart 911Duh aiseee
OTher nato members wana wajibu wa kulinda mikataba yao ya kulindana, especially kichaa kama trump anapotishia usalama wa mmoja wao, wewe umeona wapi raisi anaamka tu anasema niuzie nchi yako huyo si threat kwa dunia nzima? Fikiria kamwambia ukraine kwba baadhi ya maeneo yake itabidi akabidhi kwa russia, na ukraine haitajiunga nato tena, sasa angalia watu wangapi wamepoteza maisha yao ukraine halafu wamepoteza walichokuwa wanakipiganiaSasa USA si ndo kiongozi wa NATO?
Exactly yes. Mjerumani alijichangaya eti ana huruma/ni ubinadamu akawapokea na kuwahifadhi. Majuzi kati hapo ikala kwake.Hao wa vaa kobabazi ukiwakaribisha umeharivu nchi
Kisa ni kile kituo pale Sinza kinaitwa jina hiloTutawapeleka Sinza na Machame 🐼
Historia ya Middle East inaenda kitambo sana.Jordan ndio chimbuko kuu la Palestine Jordan alikuwa akimiliki Jerusalem na ule Msikiti maarufu.Nchi nyingine ni Misri kuna historia ndefu sana.
Bila kusahau Syria.
Lakini wanaamishwa Gaza ili iweje?
Na unaweza kukuta wale wanaohamishwa sio kwa hiari / ridhaa yao i.e. wanaswagwa tuu. Hii sio sawa.Historia ya Middle East inaenda kitambo sana.
Genocide ama ethnic cleansing?
"Wahalifu wawili, wanaenda kuonyesha umahirk wao wa kihalifu" 👈sio maneno yangu, ila wanahamishwa kwa sababu za kishetani.