Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Sasa wewe unategemea mpaka sheikh amalize kuswalishwa tarawei ndio aje akuhadithie habar za middle east badilika mkuuWe muongo Lete source...! Acha kubwabwaja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa wewe unategemea mpaka sheikh amalize kuswalishwa tarawei ndio aje akuhadithie habar za middle east badilika mkuuWe muongo Lete source...! Acha kubwabwaja
Umepata wapi hii habari? Sijaone sehemu yoyote ambako imeripotiwa.Tanzania tunaweza kukubali offer ya Rais Trump wa Marekani ya kuwahifadhi Wakimbizi wa Palestine
Mwenzetu King Abdullah amekubali kupokea Wakimbizi Watoto 2000 kutoka Palestine
Ahsanteni 🐼
Ilikuwa mubashara Fox newsUmepata wapi hii habari? Sijaone sehemu yoyote ambako imeripotiwa.
Atapanunua toka kwa nani?Atapanunua hata wapiga hapo target ni HAMAS
Nimeona kweli ,waarabu kinachowamaliza ni kama sisi waafrika wanasnichiana wenyewe kwa wenyewe jordan ni snitch kweli kakubali kuchukua 2000Ilikuwa mubashara Fox news
Hao wa kike ndio hatari zaidiTanazania wachukue wapalestina ila wa kike tu wenye umri kati ya 18yrs na 25. Waje wawamwage uswahilini.
Tumechoka kunusa uvundo we weaving na mawig. At least na sisi tufeel ladha halisi ya nywele ya singa.
PalestinaAtapanunua toka kwa nani?
Unamaanisha Rais wa Mamlaka ya Kipalestina Mahmoud Abbas ndiye ataiuza Gaza?Palestina
Yes ataiuza ni kipande kidogo tu siyo Palestina yote ni GazaUnamaanisha Rais wa Mamlaka ya Kipalestina Mahmoud Abbas ndiye ataiuza Gaza?
Misaada ingekatwa + kuwekewa vikwazo vya kiuchumi, Putin mwenyewe amenywea sembuse waarabu! Trump ni kichaa anaionyesha dunia kuwa Marekani ni kila kitu, Africa hatuna umoja na waarabu nao wengi ni wajinga kama sisi.Nimeona kweli ,waarabu kinachowamaliza ni kama sisi waafrika wanasnichiana wenyewe kwa wenyewe jordan ni snitch kweli kakubali kuchukua 2000
Hahaha,uvundo wa mawigiTanazania wachukue wapalestina ila wa kike tu wenye umri kati ya 18yrs na 25. Waje wawamwage uswahilini.
Tumechoka kunusa uvundo we weaving na mawig. At least na sisi tufeel ladha halisi ya nywele ya singa.
Misaada hata ikikatwa jorda ina uwezo wa kujitegemea ni ulevi wa madaraka inaofanya viongozi wa kiarabu na kiafrica kukombatia dhulmaMisaada ingekatwa + kuwekewa vikwazo vya kiuchumi, Putin mwenyewe amenywea sembuse waarabu! Trump ni kichaa anaionyesha dunia kuwa Marekani ni kila kitu, Africa hatuna umoja na waarabu nao wengi ni wajinga kama sisi.
Jordan ndio chimbuko kuu la Palestine Jordan alikuwa akimiliki Jerusalem na ule Msikiti maarufu.Nchi nyingine ni Misri kuna historia ndefu sana.Jordan anapokea $1.2billion kama msaada kila mwaka. Ukatae iweje?
Kataa misaada.
Gaza wana utawala wao ambao viongozi wote ni chama cha Hamas! Kwaiyo atauwauza tu bila kuwashirikisha?Yes ataiuza ni kipande kidogo tu siyo Palestina yote ni Gaza
US wanaotaka kuijenga upya Gaza, kwa hali ilivyo nivigumu kujenga watu wakiwepo, magorofa mengi yamebomolewa, hospotali shule n.k, lengo watu wahamie maeneo salama, mji ujengwe upya halafu warudishweJordan ndio chimbuko kuu la Palestine Jordan alikuwa akimiliki Jerusalem na ule Msikiti maarufu.Nchi nyingine ni Misri kuna historia ndefu sana.
Bila kusahau Syria.
Lakini wanaamishwa Gaza ili iweje?
Mkuu kutoka wapalestina itakuwa rahisi lakini kurudi Gaza tena sijui.....maanake yawezekana Israel akaamua nani arudi na nani asirudi.US wanaotaka kuijenga upya Gaza, kwa hali ilivyo nivigumu kujenga watu wakiwepo, magorofa mengi yamebomolewa, hospotali shule n.k, lengo watu wahamie maeneo salama, mji ujengwe upya halafu warudishwe
Sasa si wafanye mkuu tuone? Kama Putin kanywea haswaMisaada hata ikikatwa jorda ina uwezo wa kujitegemea ni ulevi wa madaraka inaofanya viongozi wa kiarabu na kiafrica kukombatia dhulma
Vikwazo huwezi kuwekewa wakati hata eu imeona anachofanya trump hakina misingi ya sheria, na huko kuhusu greenland NATO wamesema watailinda kwa namna yoyote na kwa nguvu zote its not for sale
Hujajibi swali hakuna wakristo ndani ya palestine!?umewahi kusikia christian palestinian for liberation kama ilivyo islamic jihad?
Hujajibu swali hakuna wakristo ndani ya palestine!?umewahi kusikia christian palestinian for liberation kama ilivyo islamic jihad?