Mfalme wa Jordan amwambia Trump yuko tayari kuchukua Wakimbizi 2000 wa Palestine, Tanzania tuchangamkie fursa hiyo Ili kukuza Urafiki na Marekani!

Mfalme wa Jordan amwambia Trump yuko tayari kuchukua Wakimbizi 2000 wa Palestine, Tanzania tuchangamkie fursa hiyo Ili kukuza Urafiki na Marekani!

Tatizo wale watu ni udini, Tanzania haidekezi mambo ya udini na ukabila. Wakija wasahau udini na upalestina wao na wachanganyikane na raia wenyeji waishi bila kufanya harakati za kuvuruga taifa letu na pia waachane na chuki kwa Israel
Kwahiyo wapalestina woote ni waislam, hamna wakristo!?
 
Tanazania wachukue wapalestina ila wa kike tu wenye umri kati ya 18yrs na 25. Waje wawamwage uswahilini.

Tumechoka kunusa uvundo we weaving na mawig. At least na sisi tufeel ladha halisi ya nywele ya singa.
Naunga Mkono hoja

Kwa kufanya hivyo, Kataa Ndoa watajikuta wanakubali kuuacha ukapela na Kuoa hizo PisiKali za Kipalestina

Japo kiSiasa itawalazimu CCM kuanza kuleta Viongozi watakaojali maslahi ya Nchi, wakileta wachumia tumbo akina kibajaj watajikuta Ukumbi wao wa JKCC pale Dodoma umepigwa bomu, maana wale hawawezi kuvumilia Viongozi Wezi/Wala rushwa🙌
 
Anaenda kubadilisha sura ya Dunia tunayoijua.
Mkulu,
Imperialism is real no matter how much they play with words. Buy a parcel of land, for Security, for peace, for U.S interests and etc etc , theyall mean the same. Empire expansion. So long as DJT remains in power tutaona mengi.
Ni kweli nawashangaa waafrika wanaowaona wazungu kama mungu, hawa watu ni racist na walafi na wanatumia tu maneno maneno ya utapeli kama terrorism na democracy kuvuruga na kupora vitu, mara mia sisi waafrika tuna utu na aibu ,look walichomzushia southafrica
Hawa ni wahuni watuache africa na siasa zetu na rasilimali zetu
 
Usiombe hilo litokee hats siku moja wapalestina hafaikuishi nao pamoja hata kwa Mungu wamekataliwa.
 
Wala hawana udini wale!
Huyu mwandishi alikuwa raia wa Palestina na raia wa US ila aliuawa ukingo wa magharibi akireport jinsi Israel ikivyovunja nyumba za Wapalestina mwaka 2023! Pia ni mkristo ata baada ya kuawa jeneza lake lilibebwa na umma wa watu wengi kwenda kanisani hapohapo Palestina western bank.

Sisi huku ndiyo tunauchukulia ule mgogoro ni wakidini ili utagawe ila kimsingi wale hawana mgogoro wa kidini tena nakuambia kama wewe ni mkristo ukienda Palestina utaishi vizuri na jamii hiyo kuliko ukienda Israel! Israel hawataki kusikia habari ya Yesu.

View attachment 3233853
hili la wayahudi kumkataa Yesu linajulikana, walimsulubisha na wakasema damu yake na iwe juu yao na watoto wao ndio maana unaona adui zao wanawakamia kila uchao, ni mpaka watakapomkiri Yesu
 
Tanzania tunaweza kukubali offer ya Rais Trump wa Marekani ya kuwahifadhi Wakimbizi wa Palestine

Mwenzetu King Abdullah amekubali kupokea Wakimbizi Watoto 2000 kutoka Palestine

Ahsanteni 🐼
Hakuwa na ujanja Rais wa dunia kashasema hakuna namna hata Putin amekuwa mpole balaa maana anajua jamaa huwa hatanii anaweza akaifuta Russia wakaanza upya.
 
Tanzania tunaweza kukubali offer ya Rais Trump wa Marekani ya kuwahifadhi Wakimbizi wa Palestine

Mwenzetu King Abdullah amekubali kupokea Wakimbizi Watoto 2000 kutoka Palestine

Ahsanteni 🐼
King, amesema haafuki relocation ya Palestinians from their homeland, ila anawachukua 2000 wenye mahitaji maalumu, hasa watoto temporaly
 
Ni kweli nawashangaa waafrika wanaowaona wazungu kama mungu
Kweli Mkuu, ila wengi ni waafrica wa mtandaoni tu😂
Hawa ni wahuni watuache africa na siasa zetu na rasilimali zetu
Wakiacha watakosa cha kuwahadaa wananchi wao.

Na wakiacha rasilimali zetu uchumi wao utaporomoka. ...ni kwamba hawaezi kuacha. Tuanchotakiwa kufanya ni kuwaongezea "Tariffs"? Kwa kifupi siasa zetu watuachie wenyewe, na huko kwenye rasilimali, tifanye biashara nao
sote tupate kufaidika badala ya wao kupora tu.
 
Tanzania tunaweza kukubali offer ya Rais Trump wa Marekani ya kuwahifadhi Wakimbizi wa Palestine

Mwenzetu King Abdullah amekubali kupokea Wakimbizi Watoto 2000 kutoka Palestine

Ahsanteni 🐼
wacha kiherehere sio kila fursa ni fursa tumbo mponza trako akili za mafisiem mafi kabisa
 
Back
Top Bottom