sblandes JF-Expert Member Joined Apr 25, 2010 Posts 6,632 Reaction score 4,737 Feb 18, 2025 #141 Nkaburu said: Historia ya Middle East inaenda kitambo sana. Genocide ama ethnic cleansing? "Wahalifu wawili, wanaenda kuonyesha umahirk wao wa kihalifu" 👈sio maneno yangu, ila wanahamishwa kwa sababu za kishetani. Click to expand... Mpango wa Trump umekataliwa na Wapalestina, Jordan, Saudia,Misri.
Nkaburu said: Historia ya Middle East inaenda kitambo sana. Genocide ama ethnic cleansing? "Wahalifu wawili, wanaenda kuonyesha umahirk wao wa kihalifu" 👈sio maneno yangu, ila wanahamishwa kwa sababu za kishetani. Click to expand... Mpango wa Trump umekataliwa na Wapalestina, Jordan, Saudia,Misri.
Crocodiletooth JF-Expert Member Joined Oct 28, 2012 Posts 20,561 Reaction score 24,428 Feb 18, 2025 #142 johnthebaptist said: Tanzania tunaweza kukubali offer ya Rais Trump wa Marekani ya kuwahifadhi Wakimbizi wa Palestine Mwenzetu King Abdullah amekubali kupokea Wakimbizi Watoto 2000 kutoka Palestine Ahsanteni 🐼 Click to expand... Yaani tuchukuwe matatizo!
johnthebaptist said: Tanzania tunaweza kukubali offer ya Rais Trump wa Marekani ya kuwahifadhi Wakimbizi wa Palestine Mwenzetu King Abdullah amekubali kupokea Wakimbizi Watoto 2000 kutoka Palestine Ahsanteni 🐼 Click to expand... Yaani tuchukuwe matatizo!
N NoreformNoelection JF-Expert Member Joined Jan 29, 2025 Posts 302 Reaction score 333 Feb 18, 2025 #143 johnthebaptist said: Tanzania tunaweza kukubali offer ya Rais Trump wa Marekani ya kuwahifadhi Wakimbizi wa Palestine Mwenzetu King Abdullah amekubali kupokea Wakimbizi Watoto 2000 kutoka Palestine Ahsanteni 🐼 Click to expand... Sisi tuchukue 10,000, ila Trump awajengee mji wao ( makazi, shule, vyuo vikuu etc) kule Rukwa.
johnthebaptist said: Tanzania tunaweza kukubali offer ya Rais Trump wa Marekani ya kuwahifadhi Wakimbizi wa Palestine Mwenzetu King Abdullah amekubali kupokea Wakimbizi Watoto 2000 kutoka Palestine Ahsanteni 🐼 Click to expand... Sisi tuchukue 10,000, ila Trump awajengee mji wao ( makazi, shule, vyuo vikuu etc) kule Rukwa.
C COPPER JF-Expert Member Joined Dec 28, 2012 Posts 2,368 Reaction score 1,488 Feb 18, 2025 #144 Cannabis said: Umechoka kuishi kwa amani ? Click to expand... Ya Al-Shabab bado file halijafungwa vizuri, tukaribishe na mengine?
Cannabis said: Umechoka kuishi kwa amani ? Click to expand... Ya Al-Shabab bado file halijafungwa vizuri, tukaribishe na mengine?