Mfalme wa Jordan amwambia Trump yuko tayari kuchukua Wakimbizi 2000 wa Palestine, Tanzania tuchangamkie fursa hiyo Ili kukuza Urafiki na Marekani!

Mfalme wa Jordan amwambia Trump yuko tayari kuchukua Wakimbizi 2000 wa Palestine, Tanzania tuchangamkie fursa hiyo Ili kukuza Urafiki na Marekani!

Historia ya Middle East inaenda kitambo sana.

Genocide ama ethnic cleansing?

"Wahalifu wawili, wanaenda kuonyesha umahirk wao wa kihalifu" šŸ‘ˆsio maneno yangu, ila wanahamishwa kwa sababu za kishetani.
Mpango wa Trump umekataliwa na Wapalestina, Jordan, Saudia,Misri.
 
Tanzania tunaweza kukubali offer ya Rais Trump wa Marekani ya kuwahifadhi Wakimbizi wa Palestine

Mwenzetu King Abdullah amekubali kupokea Wakimbizi Watoto 2000 kutoka Palestine

Ahsanteni 🐼
Sisi tuchukue 10,000, ila Trump awajengee mji wao ( makazi, shule, vyuo vikuu etc) kule Rukwa.
 
Back
Top Bottom