Mfalme wa Morocco - Kweli alistahili heshima ya Rais wetu Muadilifu Magufuli?

Mchambuzi, una uhakika hiyo picha sio photoshop?
 
Mbona ni bitothii

Japo napenda kumwona JPM akiaibika, bado siamini kama hiyo ni picha ya Mfalme!!?
 
Hio picha imetengenezwa tena na Mwanfunzi asiyejua vzuri ndio maana unaona hakuna uhusiano kati ya Miguu na eneo la kiwiliwili mpaka kichwani. Itz Photoshop material. Tujifunze kuheshimu viongoz wa mataifa ya wenzetu.
 
Private life hiyo jamani haituhusu. Kumbe yale mambo ya '47 ya wakuu wa mikoa kuwatafutia vimwana wakuu wakija kwao bado yapo! Sikuamini! Lakini mzee Chain alijua kumtuliza asiisahau Zenj. Baraka double double dah kama kawa. Mwarabu hatosheki na mmoja
 
Hio picha imetengenezwa tena na Mwanfunzi asiyejua vzuri ndio maana unaona hakuna uhusiano kati ya Miguu na eneo la kiwiliwili mpaka kichwani. Itz Photoshop material. Tujifunze kuheshimu viongoz wa mataifa ya wenzetu.
Mtasema yote kama kawaida yenu lakini ushahidi upo kwenye hadhara kubwa tu iliyokuwepo, camera za Club Mercury Zanzibar na pia katika Camera za "wahusika" ambao walikuwepo kwenye tukio.
 
Mgeni wa Rasmi wa Rais muadilifu JPM anavaa nguo yenye kutukuza bangi katika hadhara mnasema ni maisha yake binafsi? Where are our senses? Au tunaukubali utafiti kwamba sisi watanzania, mmoja Kati ya wanne tunaugua akili?
 
It's genuine. Camera zetu zilimkuta Mercury Pub & Restaurant inayomilikiwa na mjumbe wa baraza la wawakilishi Mh. Simai Mpakabasi (CCM) na pia alipita Memories shop.

Mchambuzi hizi picha zimechezewa. Nilikuuliza kwa upole lakini bado unakazana kusema ni za kweli. Ziko picha nyingine (photoshop) zinamuonesha akiwa amevaa tops tofauti na hii iliyoweka hapa. MODs naomba muondoe huu upuuzi.
 
Siwezi kuleta Photoshop humu, this is genuine na mkitaka ushahidi upo.

MODS wana haki kabisa ya kusikiliza vilio vyenu maana ni kawaida yao kuacha threads zenye genuine content na kufuta zenye propaganda na matusi dhidi ya upande wa pili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…