Mchambuzi
JF-Expert Member
- Aug 24, 2007
- 4,850
- 9,434
- Thread starter
- #41
Mtukufu mgeni wake anavaa fulana inayotukuza bangi ikizingatiwa uzito wa ugeni uliowekwa na ikulu na aina ya ahadi zilizotolewa?Wewe MTU ukifa kabla hujabeba uJAUZITO wa maMVI utaishi kwa sononeko sana huko utakakokuwa....hapa anazungumzwa mgeni wa mtukufu ...vipi uwajumuishe wasiohusika
Sitashangaa kama MODs watapigiwa simu na kurugenzi ya ikulu au Lumumba kufunga huu Uzi. Hii ni aibu kubwa and such a setback kwa nguvu yote iliyotumika.