Mfalme wa Morocco - Kweli alistahili heshima ya Rais wetu Muadilifu Magufuli?

Mfalme wa Morocco - Kweli alistahili heshima ya Rais wetu Muadilifu Magufuli?

Hio picha imetengenezwa tena na Mwanfunzi asiyejua vzuri ndio maana unaona hakuna uhusiano kati ya Miguu na eneo la kiwiliwili mpaka kichwani. Itz Photoshop material. Tujifunze kuheshimu viongoz wa mataifa ya wenzetu.
Kwel, m nlkuw nashangaa miguu ilichokibeba juu tofaut
 
1477685030905.png
 
Kuanzia sa hiv upo chinya ulinz kwakuongea mabaya kuhusu mfalme mtukufu [emoji2][emoji2][emoji2]
Pengine sio mabaya maana mheshimiwa Msukuma Mbunge wa Geita aliambia umma kwamba bangi ni jambo la kawaida miongoni kwa wabunge na mawaziri.
 
Back
Top Bottom