Augustine Genius
JF-Expert Member
- Apr 14, 2016
- 1,216
- 1,486
Huyu atakua mfalme wa marekani bila shaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu atakua mfalme wa marekani bila shaka
mkuu unakosea sio wakristo wote wanapiga pork.. wakristo wengine pork ni haramu kubwaTamaduni zinatofautiana. Haramu kwako halali kwa wengine... Mfano sie Wakristo tunaopiga pork, wenzetu wa Imani nyingine wanaweza kutuona hatuna maadili wakati sie tunaona poa tu... Pia wenzetu kuoa wake wane wao wanaweza kuona poa tu wakati sie Wakristo tunaona ni uhuni tu uliohalalishwa...
Wavuta bangi hawatakuelewa.......kama mtoa ahadi yuko hivi,tutaraji lolote?
ila nimefurahishwa na picha ya jani kwenye singilendi yakeView attachment 425885
hilo ni jani la mti gani kwenye tisheti?Hao ni wakeze ama?
Btw don't judge a book by its cover
Aiseeee nikisoma comments za hawa makamanda hakika napata shida kuelewa kilichomo kwenye bongo zaoView attachment 425886View attachment 425887View attachment 425888
Hao ndio watakao jenga msikiti na uwanja, Chadema!
Kwani Ufalme ni nini?Hivi kweli huyu ndie mfalme?
tisheti ina picha ya jani gani?naona kama muarobaini au fenethi? may be sitafeliiHayo ni maisha yake binafsi. Usiingize na ahadi alizotoa
Mkuu, usifikiri kila mtu anajua kuwa hiyo ni picha ya jani. Mwingine kavutiwa tu na mpangilio wa hizo rangi. Yawezekana pia hajawahi kuona hiyo bangi inakuwajetisheti ina picha ya jani gani?naona kama muarobaini au fenethi? may be sitafelii
Nahisi itakuwa jani la mchaichai!.tisheti ina picha ya jani gani?naona kama muarobaini au fenethi? may be sitafelii
Arovelahilo ni jani la mti gani kwenye tisheti?
hayo ya bangi umesema weweMkuu, usifikiri kila mtu anajua kuwa hiyo ni picha ya jani. Mwingine kavutiwa tu na mpangilio wa hizo rangi. Yawezekana pia hajawahi kuona hiyo bangi inakuwaje